Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Washabiki wa timu ya Arsenal wasipoupata ushindi ndani ya Arsenal watautafuta kwa timu nyingine... Manake Arsenal sio mama yao wala baba yao... 🚶polen sana arsenal fans...karibuni mjiunge na the blues
 
Washabiki wa wa timu ya Arsenal wasipoupata ushindi ndani ya Arsenal watautafuta kwa timu nyingine... Manake Arsenal sio mama yao wala baba yao... 🚶polen jmn
 

Usije kupotrza mudaa kutaka kumsikiliza mzee Wenger anaongea nini yani unaweza kuishia kuamini sisi ni washiriki tu yani huyu mzee sio title contender at all
 
Gunners, Football can be a cruel game!

Tumeuanza msimu vibaya pamoja na kwamba kujikwaa si kuanguka, bali kwenda mbele!

Tumepoteza point 3 lakini pia sio mwisho wa dunia pamoja na kwamba kwa mwaka huu, hatutaitwa ''The Invincible 2015/2016''.
 
Siku ya kwanza man poa Chelsea si mbaya liver nao ndo safi ila Arsenal nani katuroga mbna hivi yani hivi huyu Wenger anampango gani?? Hivi anajisikiaje kuitwa prof of failure, daah sio siri sizani kama anajisikiaje akiwa anajizungumza mbele ya watoto wake marafiki zake juu ya career yake....anashindwa ata kujifunza tokea kwa kina fargie yan huyu mzee amekaa mda mrefu England lakini sijui ni Experience gani anajivunia kama si kusanda gani daaah....(wacha niweke akiba)
 

Boya wewe ongea sasa
 

Pole kijana nakuhurumia na Yale maneno yako uliyokuwa unaongea sana una Bahati leo sina mood ya kigodoro.... cute b malizana na huyu,unamkumbuka ?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zetu hawa wanaitaji faraja kabla hawajachukua maamuzi magumu ya kujidhuru.
Kwa huu msiba mimi nitajitolea kulala hapa

Tuko na safari ya matumaini tutashinda...............
 
Pole kijana nakuhurumia na Yale maneno yako uliyokuwa unaongea sana una Bahati leo sina mood ya kigodoro.... cute b malizana na huyu,unamkumbuka ?

Hahahaaaa kigodoro cha leo hakinogii maana wanalia wenyewe na wengine washarudisha kadi ya uanachama wa arsenal wamepewa za man u
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…