barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Kufungwa leo nadhani kuna mkono wa Mourinho na Roman Abromovich inawezekana wametuma Cech kutuvuruga lol.
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...
everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.
Ehehehehehehehe rubaman kwema hapa ndugu yangu ehehehehehehehe
Jamani mmemtoa bure yule Mpoland wenu kwa kikongwe huyu ehehehehehehe poleni sana!Kumbukeni tarehe 24 MAJOGOO yanakuja kukuchapa hapo hapo kwako
Pole sana ndugu yangu,hii ndo EPL bana, bado tuko na safari ya matumaini tutafika salama.....
Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.
Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.
Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42
Reece Oxford akimkabili Ozil
Reece Oxford ana umri wa miaka 16
Amewasumbua sana arsenal.
huyu dogo kanishangaza sana miaka 16 lakini alichokua anakifanya hakiendani na umri wake. serious ozil alikamatwa.
Leo mmejaa kijiweni kwetu, inaelekea msimu huu watu wengi mnatuogopa.
Aisee hongereni mkuu naona jana kijana Schneiderlin alikuwa akifanya patrol kwenye eneo la kiungo, safi sana.
Mimi naelewa mpira na nilifahamu LVG aliona mbali, tatizo Wenger anabania sana pesa ambaypo si yake.
Kufungwa leo nadhani kuna mkono wa Mourinho na Roman Abromovich inawezekana wametuma Cech kutuvuruga lol.
Nimemsikiliza wenger,ata tukichukua ubingwa bado sitompenda wenger,wakat anamjib henry kuhusu karim kaishia kusema i do believe i do believe,wtf coach unatakiwa useme i know,mara giroud ajtahd afkshe magor 20,ozil 10,walkot 10 then tunachukua ubingwa,,huyu babu hajiamn na ndoo maana hata wachezaj hawajiamn,kila siku anasema wachezaj wake hawana confidence wakicheza na big teams?nadhan aende kwa josee amfundshe kijenga motivations
Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.
Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.
Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42
Reece Oxford akimkabili Ozil
Reece Oxford ana umri wa miaka 16
Huyu ana miaka 25 sasa yupo kwenye peek katika mpira.
Alienda Belgium akiwa na miaka 15 akachezea timu za FC Brussels na Anderlecht.
Tayari amecheza sana cL na ana uzoefu.
West Ham wana kiungo mahili na hapa meneja wao wa zamani Sam Allardyce aliona mchezaji.