Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Fabiansk for England!Tumefungwa,good game though,vijana wamecheza vizuri tofauti na matarajio ya watu..Poto rahisi mnoo.Wakija Imarati kichapo ni chao...Thank God tuna goli la ugenini🙂🙂
Same old story different day.
Hata Henry akiwa Le Arse alishafunga goli kama hilo against Chelsea, quick free-kick. Get over it!Huyu refa atafungiwa. Nimeona replays hata hakuona goli lilivyofungwa alishitukia liko golini na kulikubali.
Fabiansk for England!
Hata Henry akiwa Le Arse alishafunga goli kama hilo against Chelsea, quick free-kick.
Najua ni M-Pole, lakini hata Almunia ni Spanish....just a joke!Mpoland huyo
Najua ni M-Pole, lakini hata Almunia ni Spanish....just a joke!
Hongereni sana kwa goli la ugenini, litawasaidia Emirates.Tumefungwa kwa uzembe wa kijinga bin kitoto wa Fabianski japo tumecheza vizuri tofauti na ilivyotarajiwa
Wenger's words "First, I believe it was an accidental backpass. Sol touched it accidentally. The ref should have given us time to build the wall, because otherwise you can never defend a free-kick. It was a double mistake - and it was a penalty for us as well."
.
kweli ni huzuni,kwa kipigo cha timu yetu
pale uwanja wa dragao
kimekuwa cha maumivu
tumelia tumeacha nasi twaamini tutashinda palepale emirates
oops,perfomance imekuwa very poor kipindi cha pili,the goalkeeper made some fine saves but what terrible mistakes he did!!!
anyway tuna uhakika tukiwa in full strength na tukikaza zaidi porto hawatoki at the emirates in three weeks to come
KEEP THE FAITH
Tushakuzoea wewe....lol
Sio lazima mkuu! Unaruhusiwa kufanya quick free-kick kama unaweza. Magoli ya hivyo yamefungwa mengi tu hata EPL kama utakumbuka Henry, Giggs, .......ni jukumu la timu inayozuia kuhakikisha hawatoi nafasi kwa faulo ya haraka hili wajipange, wanaoshambulia ndio wanapewa advantage. Arsenal have just eaten their own medicine, if you remember Henry against Chelsea.Hata mimi sielewi kama yule refa ana akili kichwani au amejaza miuji. Ukipata adhabu lazima ukuta ujengwe. Nadhani UEFA anaanza kuporomoshwa na mediocre kama hawa.
Naona nyie washabiki wa Arsenal na mie nimeshawazoea. 😀
Safari yenu ya UCL mwaka huu umekuwa fupi zaidi. Porto gemu ya pili watarudi nyuma wote na itakuwa stalamate na mechi ya hovyo,. Na kwa sababu Arsenal huwa wanahamanika, watataka kwenda mbele kutafuta goli as a result watapigwa counter moja kule kule kwa Cliche na kaunta itazaa mtoto. Then it comes the usual part kuugulia maumivu. Poleni in advance.
Ila inashangaza kama kule Emerates kuna watu wenye akili timamu. Hivi kununua kipa mzuri kama Sorensen inaonekana kuna gharama kubwa zaidi kuliko kutolewa kwenye hatua za awali za FA Cup au UCL?? Nadhani kuna mahali jambo flani halipo sawa.