wapigwe tu mana hakuna namna nyingine!
cc 1 wao nunge
Naona hawa wadudu watasawazisha ..... kama walivyotukosa
Game la leo linatazamwa kwa hamu na Anti-Arsenal kina Bavaria na United wote kuliko wapenzi wa Arsenal na Chelsea. HT Arsenal 1-0 Rentboys.
Game la leo linatazamwa kwa hamu na Anti-Arsenal kina Bavaria na United wote kuliko wapenzi wa Arsenal na Chelsea. HT Arsenal 1-0 Rentboys.
Halafu leo nipo nawe kwa mkopo ole wako uniabishe.....kwa raha zako Wenger oyeeee!!!!!....
Hii ni mechi ya kirafiki. Tukishinda nyie wabaya hamtaihesabu labda tufungwe.Halafu leo nipo nawe kwa mkopo ole wako uniabishe.....kwa raha zako Wenger oyeeee!!!!!....
Sishabikii arsenal wala chelsea. Naangalia mpira.
Nkigungwa sawa tu.
Kuwa mkweli unasubiri Rentboys wasawazishe uanze kuchonga.
Hii ni mechi ya kirafiki. Tukishinda nyie wabaya hamtaihesabu labda tufungwe.
ngao ya jamii sa ngapi leo