Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipa wa Everton ana kazi kweli leo.

Nimependa magoli ya yote yamefungwa kiustadi.

Lakini magoli ya pili la Cazorla na la tatu la Ozil ndio kwisha.

Cazorla akiwa karibu na goli la Everton anapokea pasi ya kona fupi kutoka kwa Hector bellerin na anayumba upande wa kulia halafu wa kushoto kasha kuachia shuti la nguvu la chini linaloelekea upande wa kulia wa kipa Robles na kujaa wavuni. hili ni moja ya magoli trademark ya Santiago Cazorla.

Goli la Ozil linaanzia upande wa Arsenal hadi langoni mwa Everton na Ozil anabadilishana pasi na Cazorla labla ya kuweka mpira kimiani.
 
Arsenal sio pa kuzungumzia kwa sasa yan tusubir msimu uanze watu tuinue makwapa
 
Its all over Arsenal 3 - 1 Everton. Vijana wanaonekana wako sharp na kila mchezaji anapigania nafasi yake kwenye first eleven ya Prof ... .... .. .

Tutawaona vijana kwenye Emirates cup kuanzia tarehe 25th July ... . COYG.

Arteta anaongea sasa ..... .... Gibbs ... . vijana wananyakua kikombe muda si mrefu .... ... more pics to come.
 
Watatukoma au vipi ?
 
Sasa Mentor arsenal sahizi yako we ongea na Everton,spurs huko leictercity yan hao ndo wako si arsenal usijilinganishe nao kwa sasa

Bruh don't try to pick a fight with me if you can't properly type 'leicester' or write 'size yako' instead of 'sahizi'!!!!!!!!!!!!!!!!!

And FYI am your current Champion...le bleus! #CFC #TRUEBLUE #EPL_CHAMPIONS_2014 /2015
 
U kno m not fightin with u bruh weee bingwa shikamooo mourihno sema hao man u hao be got prom with em not blues the current
 
Ohooooo....Sasa tunaweza kuendelea...kavipi tuhamie kwao wanasajilije wazee halafu wajifanye kuwasema nyie kuwa na wazee. Ts different mchezaji kuzeekea kwako na kununua a 30 something player!!!

But do i say.... cc: Cathode Rays
 
Last edited by a moderator:

Af sasa bora unnue mzee kama Costa si mbaya turufu haswa lakini guys wananua wazee kwa pesa nyingi af wanadai arsenal kuna wazee yan man u bhana haha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom