sasa wenger kanunua kipa au dereva bodaboda?! ...........
Mimi ni Arsenal ila kuanzia leo nashabikia BARCELONA TIMU BORA
Mimi ni Arsenal ila kuanzia leo nashabikia BARCELONA TIMU BORA
Hujawahi kuwa Arsenal wewe acha habari zako!!
kweli wewe ni pnc a.k.a umebuma
we unaonaje!? ya msondo muachie ngurumo...
mi naona kavaa helment ..........
sasa unauliza nin wakat macho unayo... na kuona umeona mkuu enzo zidane
hahahaha......kwa hiyo mkuu!, sio kitu cha kuuliza sio eeh?! ........... hongereni basi kw kumnunua dereva bodaboda.
Naona Petr amekuja kumsaidia Welbeck kuwadorishia medali ya EPL wachezaji wa Gooners 
Ukizingatia DDG anatimukia Madrid afu Arsenal wamemnunue Cech Roho za watu zinawauma sana. Tusubiri ligi ianze tuzidi kuwaumiza manyang'au
Wakuu mpo?
Kama nilivyoeleza kwenye post namba 43027 Lucas Podolski anakuwa mchezaji mwingine wa Arsenal kuondoka.
Podolski anakwenda timu ya Garatasaray ya Turkey kwa paundi milioni 10 hivi.
Pia leo hii Arsenal wameanza mazungumzo na wawakilishi wa Pedro Rodriguez ambae ni mshambuliaji wa Barcelona.
Lakini taarifa kutoka Spain zinasema mchezaji huyo ana clause yenye kiasi kama paundi milioni 110 hivi ambazo ni nyingi sana.

Mkuu hiyo tarakimu ni sahihi au typing error
Kwamba ana thamani kubwa kiasi hicho?