mmekuwa linked na 28-30yrs old kibao apart from Depay. Case ya GK in terms of age ni tofauti na infield players. Anyway mlikuwa mnasema kumaliza top 4 kutawarahisishia kununua wachezaji lakini hadi sasa ni Depay tu ndo kanunuliwa,unasemaje juu ya hii challenge inayoonekana kuwepo kwenu?
kumbe na wewe ni mgeni wa mpira kiasi hiki bro??? hvi kuwa linked na mchezaji inamaana tunamtaka? yaani hadi saiz tumekua linked ma wachezaji zaidi ya 29, it means wote tunawataka au ni media tu? Kane,varane, lloris, humells, gundogun, sterling, firmino, are those above 28? af kingne man u haina kiongozi zaidi ya Rooney na carrick ambao wapo above 28 that's y tunakua linked kiivo

Tatizo unasoma na kusikiliza magazeti ya udaku.
Taja mchezaji (wa under 27 ikiwezekana) ambaye Sky Sports waliripoti kuwa United walipeleka ombi rasmi na kukataliwa! Fanya hivyo kuonyesha huo ugumu ambayo United imepata...
Morgan akasaini dili J5...hapo United inakuwa imebakiza CB 1 na ST 1....
hahahaha naona hii post imetonesha vidonda.. Kila siku naona mnakuwa linked na wachezaji waliofikia ukingoni mwa career zao. Kulinkiwa na kutaka wachezaji huwa sometimes vinahusiana sababu media huwa zina fununu ya transfer activities za kila timu kipindi kama hiki. Post SAF era mmekuwa na wakati mgumu wa kuattract wachezaji wa kesho na keshokutwa. Kifupi timu yenu inaelekea kuwa kama timu za Uarabuni na MLS ambapo wachezaji wanakwenda kushindilia pensions zao kabla hawaja retire eg Victor Valdes lol. Muda si mrefu Schweinsteiger, Airjen Robben nao watakuja kujizolea pesa. Liverpool imewazidi kete kubeba allegedly transfer targets wenu Firmino na Clyne, najua mtasema hamkuwataka LOL
mmekuwa linked na 28-30yrs old kibao apart from Depay. Case ya GK in terms of age ni tofauti na infield players. Anyway mlikuwa mnasema kumaliza top 4 kutawarahisishia kununua wachezaji lakini hadi sasa ni Depay tu ndo kanunuliwa,unasemaje juu ya hii challenge inayoonekana kuwepo kwenu?
LOL Firmino, Clyne(mmepiga debe dogo kaona jahazi ndio limeshaanza kuzama). unataka wengine? Morgan bado hajasaini anaweza kuanza, dogo anataka kucheza UCL na hamja guarantee hiyo spot.
Morinyo atakuwa kanuna kweli
ha ha ha ha ha ha unawachokoza wazee wa.kutoinua makwapaTottenham imefika robo fainali ya UCL Mara nyingi kuliko Arsenal katika hii miaka 6 ya mwisho
Tottenham imefika robo fainali ya UCL Mara nyingi kuliko Arsenal katika hii miaka 6 ya mwisho
Tottenham imefika robo fainali ya UCL Mara nyingi kuliko Arsenal katika hii miaka 6 ya mwisho
Tottenham imefika robo fainali ya UCL Mara nyingi kuliko Arsenal katika hii miaka 6 ya mwisho
deo acha utani bhana,, spurz hajaingia robo ya ucl tokea karne hii imeanza