Vijana wamejitahidi mnoo mpaka dakika hii,wamewza kuihimili kasi ya Porto...Rosicky kacheza vizuri sana 1st Half,Fabianski ndo hivo tena ana tatizo la kujiposition golini(mapepemapepe hivi,hatulii,kama Almunia tu)
Pia bado tunahitaji mshambuliaji wa aina ya Drogba na Rooney au Robin Van Persie,mwenye uchu wa magoli,tunahitaji mshambuliaji mwenye nguvu na anayeweza kujaribu kufunga hata akiwa mbali...pale mbele hatuna mshambuliaji kabisa