heshima kwenu fans wa gunners.
Jezi zetu sio nzuri to be honest
Jezi zetu sio nzuri to be honest
Kama huzipendi usinunue. Mimi nimezipenda sana design yake ni ya kwenda mbele safi sana, COYG.
Wakuu kumekucha!
Arsenal jana wamekwenda Sporting Lisbon na wameweka mezani paundi milioni 28.8 kwa ajili ya kutaka kumsajili William Cavalho.
William anagharimu kama paundi milioni 37 hivi ambazo si tatizo lakini tuone kwa kuanzia na hizi 28.8 kama Lisbon watakubali kufanya deal.
Kama William atakuja Arsenal basi Man City wanaweza kumchukua Jack Wilshere ambae wanamtaka kwa paundi milioni 40.
Na Man City kuweka dau hilo kwa Jack Wilshere itatokea kama Paul Pogba atakataa kwenda Man City.
Tusubiri habari hii mut=rua ya kumpata huyu dogo ambae ni proper engine room na atakuja kusaidiana na dogo Francis Coquelin.
William Cavalho akikabiliana na Cesc Fabregas
Tusisahau pia tuna Petr Cech anakuja kwa paundi milioni 11
Martinez bado hajaamua aje Arsenal au aende AC Milan.