Yo! Cazorla ni Player of the Match kwa muono wangu. Jamaa kainyamazisha Midfield ya Villa.
Back to back Fa cup winners
Hongereni wakuu wote wa Gunners ..... .... #COYG
Kaka Wacha1 uko wapi leo kicheko cha kujidai hakipo leo khee khee khee khee eee
Hongereni washabiki na wanazi wa Gooners...naona mnajilamba midomo tu leo 