Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kajibu ndio, lakini kaanza excuse mapemaaaaaa!, lol!, leo AW na Wacha1 nina nyinyi kudadeki, jana mmenihemesha sana watanganyika nyie... Preshaaaaaa inapanda...preshaaaa inashukaaaaaa...Lol!

Karibu sana Manda tupo hapa kuwafundisha soka sio Porto pekee - timu zote pinzani kwani mnafahamu nini kinawasubiri. Njoo uangalie soka sio kama lile la jana magoli ya bahati nasibu na ndinga mbovu mbovu, uangalie kitale leo.
 
Tik tak tik tak.......apo Z Gonnaz viroho vyawadunda.....Wacha 1: goli n goli tu, hamna baya wala zuri coz at the end of the day ni point tatu wat mataz.
 
Tik tak tik tak.......apo Z Gonnaz viroho vyawadunda.....Wacha 1: goli n goli tu, hamna baya wala zuri coz at the end of the day ni point tatu wat mataz.

...πŸ˜€ mbona unajipa presha wewe, wenyewe tupo tuliii kama maji ya mtungini,
...tumetulizana na kahawa zetu na visheti saa hizi tunasubiri wakti ufike vijana watupe raha!
 
...πŸ˜€ mbona unajipa presha wewe, wenyewe tupo tuliii kama maji ya mtungini,
...tumetulizana na kahawa zetu na visheti saa hizi tunasubiri wakti ufike vijana watupe raha!

Habari yako mkuu!
 
Kama naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?!!!!!!!!!!!11111
 
...Fabianski amenikumbusha enzi zile tunacheza chandimu mchangani,...unafungwa goli kama lile halafu unanuna na kuondoka na mpira! Hivi analipwa kiasi gani huyu, aibu Professional kufungwa goli kama la 'chandimu'.... anyway, Manure pia walianza kimdebwedo hivi hivi jana...

Habari yako mkuu!

...Sema Masa, am gud bro...πŸ™‚

Hodi hapa, wenyeji mpo?!

...karibu karibu!

Arsenal 1 - 1 Porto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawa Porto vipi, wanafungwa na Bwabwa Campbell??!!!!!!!!
 
Masahbiki wa Arsenal naombeni leo tusiwe na maneno mingi....kimyakimya
 
Kama nilivyosema vijana wanacheza ngoma safi .... .... siyo urojorojo wa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…