Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mbona sioni hata picha za kabati ya trophy au mende wengi?Ã-Â-½Ã-¸ƒÃ-Â-½Ã-¸ƒÃ-Â-½Ã-¸ƒÃ-Â-½Ã-¸ƒÃ-Â-½Ã-¸ƒ
 
NC 2 WH 0 wameweza kusurvive na kubaki kwenye EPL, hongera zao sana.
 
Hahahahahahah lol! umefurahi au umenuna HC wanashuka daraja?

Yaani nimenuna mpaka nataka kupasuka acha tu nitumie Pepsi baridi nishushe hasira.........naona umefurahi sana.
 
Reactions: BAK
Ha ha ha ha ha jaman, let picture talk
 
Attachments

  • 1432491195176.jpg
    49.8 KB · Views: 111
Haya banaaa pole kwa kununa ila usipasuke bado unahitajika kwa miaka mingi tu ijayo. Kitu kingine
sikutaka wale NC washuke nadhani ndio timu pekee EPL yenye wacheza wengi toka Africa ukilinganisha na timu yoyote ile.

Yaani nimenuna mpaka nataka kupasuka acha tu nitumie Pepsi baridi nishushe hasira.........naona umefurahi sana.
 
Haya banaaa pole kwa kununa ila usipasuke bado unahitajika kwa miaka mingi tu ijayo. Kitu kingine
sikutaka wale NC washuke nadhani ndio timu pekee EPL yenye wacheza wengi toka Africa ukilinganisha na timu yoyote ile.

Hahahaha!! Hiyo sababu ya mwisho imenifanya nitabasamu nipotezee machungu..... Mbona hatualikani tarehe 30 au unahisi Villa atakuchapa?
 
Reactions: BAK
Unakaribishwa sana kama unakuja kutushangilia tukiwachapa wale Aston Villa lakini kama unataka kuja kutunanga 🙂🙂 cheza mbali na hili jukwaa 🙂🙂 chungulia kwa mbali tu. Nimeambiwa nawe ulikuwa damu damu ni Arsenal lakini kukosekana kwa makombe ndiyo ukahamia nanihii, makombe sasa yameanza kurudi karibu tena nyumbani binti mpotevu 🙂🙂

Hahahaha!! Hiyo sababu ya mwisho imenifanya nitabasamu nipotezee machungu..... Mbona hatualikani tarehe 30 au unahisi Villa atakuchapa?
 
Hahahahahahaha!!!! Ninepe Everlenk mie eti unasemaje!!!!......bila hiyana nitakuja kuwashangilia sana tu tena sana si unanijua eeh!!....lakini nakuhaidi niko kama kinyonga mkifungwa nitawaruka fasta kama siwajui 😀😀😀😀
 
Hilo la kufungwa sahau kabisa timu iko bomba sana lakini ukija kwa nia ya kutunanga huku tunamchapa mtu ni bora tu uondoke, mie sitatia neno lakini kuna Gunners wengine utakoma ubishi mwenyewe wakianza kukuita majina mabaya yote ya humu ndani hahahahahaha ikiwemo #msagasumu, #mburukenge n.k. lakini aisee kuna wakati huwa nacheka sana watu wakianza kuchachurana huku kwenye sports dah!

Hahahahahahaha!!!! Ninepe Everlenk mie eti unasemaje!!!!......bila hiyana nitakuja kuwashangilia sana tu tena sana si unanijua eeh!!....lakini nakuhaidi niko kama kinyonga mkifungwa nitawaruka fasta kama siwajui 😀😀😀😀
 
Itakuwa poa tukifanikiwa kumchukua sterling maana kuna tetesi anaikubali arsenal, theo awe straika wa kudumu then sterling, ox, sanchez, campbel wabaki winga + vidal, straika hatari, cech na beki mmoja Epl tunachukua +UEFA final au nusu
 
Reactions: BAK

Hahahaha!!! Hayo majina ndo yananogesha jukwaa bila hayo kungepoa.... Mkifungwa sitajizuia aiseee!!!
 
Reactions: BAK
Kuhusu hayo majina ni kweli yananogesha sana....Kama unataka kununiwa na akina Wacha1, rubaman, utafiti, BAK na wengineo kila la heri 🙂🙂

Hahahaha!!! Hayo majina ndo yananogesha jukwaa bila hayo kungepoa.... Mkifungwa sitajizuia aiseee!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu hayo majina ni kweli yananogesha sana....Kama unataka kununiwa na akina Wacha1, rubaman, utafiti, BAK na wengineo kila la heri 🙂🙂

Hahahah!! Kwa wengine nitajitahidi ila Wacha1 na rubaman aiseee watanisamehe..... Lol kama vile Nzi anavyowateseni ndo na hawa wanavyonitesa..... Ila siku hizi Wacha1 kawa user friend anisumbui sana kama zamani .....
 
Last edited by a moderator:
Nasikia miezi ya nyuma ulikuwa ukiwaona Wacha1 na rubaman wako mtaani ulikuwa unalog out na kuchungulia yanayojiri kupitia dirishani 🙂🙂

Hahahah!! Kwa wengine nitajitahidi ila Wacha1 na rubaman aiseee watanisamehe..... Lol kama vile Nzi anavyowateseni ndo na hawa wanavyonitesa..... Ila siku hizi Wacha1 kawa user friend anisumbui sana kama zamani .....
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wa Gunners tumemaliza msimu kwa kishindo. Tulijaa tele kuwaona vijana, kazi inayofanya prof imeonekana, Kuanzia Jan mliona jinsi tulivyoweza kuwakabili wapinzani wetu. Timu imetulia tunahitaji wachezaji kama wawili watatu tuweze kufunga komeo. kabla ya yote mtanange wa FA Cup ni muhimu ili tuweze kuwa mabingwa kwa miaka miwili mfululizo, nafahamu game itakuwa ya kukata na shoka next Wembley. ..... ..... ...here we come. #COYG

Theo Walcott wheels away in celebration after scoring his second goal of the afternoon in the 14th minute

Walcott, pictured with Hector Bellerin, celebrates with Arsenal supporters after scoring against Tony Pulis' West Brom side

A first-half hat-trick at the Emirates Stadium

Arsenal team-mate Francis Coquelin after scoring a Premier League hat-trick

Jack Wilshere is lofted in the air after scoring his second
Premier League goal of the season

Wilshere celebrated with Arsenal fitness coach Declan Lynch after scoring his side's third goal of the match after 17 minutes

All smiles after finding a way past West Brom goalkeeper Boaz Myhill

The diving Myhill was unable to get a hand to Wilshere's effort during the final league game of the season at the Emirates Stadium

Santi Cazorla and Wilshere celebrate with Walcott after the Arsenal forward netted his hat-trick goal against the Baggies

Alexis alikuwepo ... .... ...

Walcott shares a word with Wenger after being replaced by Arsenal striker Olivier Giroud in the 69th minute

Prof kama kawa akiongoza vijana ... .

Hahahah!! Kwa wengine nitajitahidi ila Wacha1 na rubaman aiseee watanisamehe..... Lol kama vile Nzi anavyowateseni ndo na hawa wanavyonitesa..... Ila siku hizi Wacha1 kawa user friend anisumbui sana kama zamani .....

Kumbe unajidai khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengoja tuchukue FA Cup kwanza si unafahamu leo tulikuwa tunamsghughulikia mtemi aliyewachabanga cheslick tatu mtungi khe khe he khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Ding ... Dong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…