Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anapesa hata yule tajiri anamiliki hisa nyingi mwenye jina ka mti shamba hafiki
 
Habari nyepesi nyepesi zinasema Arsenal wanaweka dau vizuri kumnunua David De Gea.
 
Hahahaha nimeiona the Guardian, BBÇ hiyo mkuu, source za kuaminika mitaa ya kwenu.

Hapo waswahili wanasema umepigwa mchanga wa macho.... bbc wapo busy na uchaguzi ..... guardian sidhani kama ni source ya kuaminika inapokuja masuala ya mpira
 
Mkuu DonDonald naona mnakuja kutetea kombe la ICC lakini mmepangwa kucheza West coast na Mid-west nilitaka kwenda kuwaangalia. Itabidi nijaribu kwenda kuwaangalia Rentboys na Divingboys aka Barca mitaa ya kati. Arsenal sijui watashiriki lini katika hili kombe maana wana wapenzi wengi sana East Coast according to Twitter survey kuliko timu zote za England.
 
Nenda bana midwest ukaangaliw total football..... dah unataka kwenda kuwaangalia wazee wa kupaki mabasi ....... nyie si kila mwaka mnakuwa mpo busy na mashindano yenu ya Emirates... ila kweli inabidi watie timu huko .... kuna wanigeria wakumwaga
 
Nadhani Emirates cup yetu itafutwa muda si mrefu. Emirates wapo mbioni kusponsor FA CUP kuliita Emirates FA Cup (kama unavyojua) patakuwa na conflict. Yeah inabidi watie timu soon, waache kwenda Asia kila mwaka huku ndio kuna soko linalotawaliwa na nyie na rentboys kila pre-season. Wanigeria wengi ni wapenda daraja hasa wanaoishi mitaa ya kusini.
 
Hapo waswahili wanasema umepigwa mchanga wa macho.... bbc wapo busy na uchaguzi ..... guardian sidhani kama ni source ya kuaminika inapokuja masuala ya mpira

News za kuwapasha joto. Naona kina LVG wapo muhe muhe kumbembeleza dogo asiondoke. Wanamwaga dau kubwa lakini DDG yupo kimya. Anyway, ndio baadhi ya wachezaji walivyo wakipata jina wanatimukia Barca, Real Madrid baada ya msimu mmoja wanajuta kwa nini waliondoka EPL mfano Reyes, Fabregas, Hleb, Petit, Anelka etc
 
Wachezaji wa South America .... waspanish ... portuguese ukiwasajili ni kama unakula hasara....wakishakuka kuwa na jina lazima wakuambie tangia walipokuwa buenos aires ndoto zao zilikuwa ni kuchezea madrid au barca.... dogo ipo siku atakipa tuu
 
Sasa huyu Tony Adams mbona simuelewi.... badala afanye mpango ainunue timu yake pendwa Arsenal .. yeye anataka kuwanunua Villa.... ila habari za chini chini zinasema atakuja kununua share za Kroenke .... itakuwa poa sana Tony Adams akija kuwa majority shareholder wa Arsenal lol
 
Kweli mkuu. Nadhani ni afadhali kidogo kama wameshapitia hizo timu au ligi(La liga na Seria A) kabla hawajaja England labda hawatakuwa na muwasho wa kukimbilia kule.
 
Sasa huyu Tony Adams mbona simuelewi.... badala afanye mpango ainunue timu yake pendwa Arsenal .. yeye anataka kuwanunua Villa.... ila habari za chini chini zinasema atakuja kununua share za Kroenke .... itakuwa poa sana Tony Adams akija kuwa majority shareholder wa Arsenal lol

Ebana hiyo news nimeisoma sijaielewa ni yeye anayetaka kununua au ni miongoni mwa shareholders kuinunua? Nilisoma source moja wanasema ataletwa kushughulikia soka(kiufundi) endapo dili la kuinunua litatiki, source nyingine wanasema atakuwa mmoja ya wanunuzi. Sielewi kitu. Hana pesa za kununua shares za Kroenke, Tony ana pesa za ulabu tu hahahaha. Villa wanaiuza kwa £150M ambazo hata wewe na wadau wote wa Manchester United Thread mnaweza kujipigapiga mkainunua hahaha. Kama dau la kuinunua Villa ni hilo, nina wasiwasi Villa wanaweza kuja kuwa kama Portsmouth muda si mrefu. Hizi timu bora ziendeshwe na wanachama, wapenzi, supporters kama ilivyokuwa kabla ya hii fasheni ya kununua timu ilipoingia.
 
Hahahahahaha umenifurahisha sana na comment yako hii ... Tony adams ana hela sawa na mlevi mwenzake Paul Merson .... wamempita kidogo Paul Gascoigne.... Jamaa anakuwa ni mtu wa kati .. anawakilisha watu wenye hela zao.... Villa muda mrefu inauzwa kwa 150 m... ila sijajua kwanini watu hawaendi kuinunua...labda ina madeni sana
 
Biashara ni masirahi. Maybe sababu itakuwa ni combination ya madeni na fans base ndogo.
 
Back
Top Bottom