Tumepat point sio mbaya though ilitupasa kushinda ni ukweli uliowazi kuwa jamaa walikuja kutafuta point moja na wameipata all in all macho yote na akili zote to the next game with Hull.
#COYG
Mkienda OT Man u wanawafunga....nafasi ya 4 inawahusu...
Shikamoo Mourinho.....
Lets wait and see but sijui unaiongelea Man Useles ipi hii hiii ya Martinez Ooooooopss!!! sory hiii Van Gal.
Kwa mpira Wa wonga mliocheza Leo OT unafungwa Na nafasi ya 4 inakuhusu.....
Shikamoo Mourinho......
Kwa mpira Wa wonga mliocheza Leo OT unafungwa Na nafasi ya 4 inakuhusu.....
Shikamoo Mourinho......
Kuna uwezekano wa Wenger kustaafu msimu huu??
kutokana na mafanikio ya timu mpaka sasa pengine asistaafu ila aliwahi kusema msimu uliopita kama asingeshinda FA angestaafu pia kujiuzulu kwa klopp kuna nipa mashaka Wenger asije mwachia kiti