Welbeck anakosa goli la wazi kabisa
Ha ha ha haaah,,,,,,wao ndio walikuwa na presha maana walijua watapigwa.Hongereni kwa kubana mwanzo mwisho......ni bora ku droo kuliko kufungwa na chelsea inauma sana niulizeni mimi.
Arsenal huwa hatupati magoli ya kindondokela kama timu nyingine. Pale Welbeck hata angejiangusha mpira ungedeflect na kuingia nyavuni. Haikuwa bahati yetu labda next time tutawapata.
Kuna uwezekano wa Wenger kustaafu msimu huu??Binafs naona bado tunamuhitaji wenger itakuwa poa kama hata staf msimu huu kumpisha klopp
Safi sana...Cesc anapata heshima ya kipekee wakati akitoka
Timu yetu nzuri sana, muhimu hapa kuwa keep hawa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao.
Defense ime improve kinoma.
Wakuu nimefurahi kuwaona na salam nyingi kwa wakuu wengine.
Kila la kheri wote.
Ulitaka ajipangaje mkuu??sijui kwanini Wenger anashindwa kujipanga dhidi ya huyu jamaa
Ulitaka ajipangaje mkuu??
Timu imecheza vizuri sana leo...Imeshambulia, imedefend na ilikuwa nzuri kila idara....Sema ni bahati yao tu Chelsea...
Timu iko vizuri na am sure msimu ujao itakuwa vizuri zaidi na kuwa moja ya title contenders...Mwaka huu tulianza vibaya na tunamaliza vizuri, Chelsea wao walianza vizuri na wanamaliza vizuri.....
Ila kuna wajinga wachache walikuwa wanam-buu, sijaona kosa Cesc alilolofanya katika usajili. Arsenal walitakiwa wamrudishe hata kwa kumweka benchi. Watu wanasahau kuwa hawa wachezaji ni wafanyakazi kama watu wengine. Anayekuajiri ndio unayemtumikia.
alokosa goli la waz ni ozil ule mpira welbeck angeupata kwa bahat tu
Nilisemaga Wenger alikosea kutomrudisha Cesc Arsenal. Labda tungekuwa tunakimbiza Ubingwa kama angemrudisha August badala ya kwenda kwa "rentboys".... Next season itakuwa ngoma mkono hadi mtondogoo. Arsenal tutakuwa vizuri zaidi ya tulivyoanza msimu huu. Tukimaliza 2nd spot na kulibeba FA Cup kwa mara ya 2 mfululizo itakuwa a BIG BIG COME UP. Vile vile nataka £150M waishie wa 4.
Ulitaka ajipangaje mkuu??
Timu imecheza vizuri sana leo...Imeshambulia, imedefend na ilikuwa nzuri kila idara....Sema ni bahati yao tu Chelsea...
Timu iko vizuri na am sure msimu ujao itakuwa vizuri zaidi na kuwa moja ya title contenders...Mwaka huu tulianza vibaya na tunamaliza vizuri, Chelsea wao walianza vizuri na wanamaliza vizuri.....
mkuu tatizo ni uteja,kwanini hajawahi kutoka na point 3 kila alipo kutana na huyu jamaa?ina maana yeye hazitaki auUlitaka ajipangaje mkuu??
Timu imecheza vizuri sana leo...Imeshambulia, imedefend na ilikuwa nzuri kila idara....Sema ni bahati yao tu Chelsea...
Timu iko vizuri na am sure msimu ujao itakuwa vizuri zaidi na kuwa moja ya title contenders...Mwaka huu tulianza vibaya na tunamaliza vizuri, Chelsea wao walianza vizuri na wanamaliza vizuri.....
Dah...hii game ilikuwa yetu kabisa yani...