Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
BAK ni wewe huyo?????? Mtajuta kutufahamu khe khe khe kheeeeeee shikamoo Mourinho.....
Oh ana paki basi oh sio kocha oh mjanja mnjanja tu.....khe khe khe ndani ya Emirates the blues wanasumbua........
Shikamoo Mourinho
Dah Hawa jamaa leo tunawachezea mpira mkubwa s ana
siwezi kuangalia second half. Mtanipa matokeo. Hata hivyo tutakuwa watatu hata tukifungwa. Wale jamaa naona wameshakubali nafasi ya 4 ni yao, nilikuja kusalimia , nasubiri waje kulalamikia penati hewa. Midaz pipoz
hahahahahahaha preshaaaaaaa
Mmepotea kipindi cha pili!!!
Mmmh..hii sub siielewi
hahahahahahaha preshaaaaaaa
Kutoka kwa Coq ni kifungo chetu. Ningemtoa Cazorla kumwingiza Walcott