Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Link...we Google firstrownow hiyo link ya kwanza ingia tafuta game
 
Reactions: BAK
Referee kaminya penalty yetu ya wazi kabisa.
 
​Mkuu ulipotea kwa kipindi kirefu sana. Nimefurahi kukuona, natumai kila kitu kiko shwari.

Mkuu kila kitu salama.

Tuli invest mda mwingi sana kwenye timu yetu ilibidi tupunguze kidogo ha ha ha.

Sema nafurahi kuona wakuu mpo mnawakilisha na kuendeleza jukwaa.
 
Sawa nimekuelewa Mkuu, karibu tena jukwaani.

Mkuu kila kitu salama.

Tuli invest mda mwingi sana kwenye timu yetu ilibidi tupunguze kidogo ha ha ha.

Sema nafurahi kuona wakuu mpo mnawakilisha na kuendeleza jukwaa.
 
​Wetu leo hawa manina zao.


BAK ni wewe huyo?????? Mtajuta kutufahamu khe khe khe kheeeeeee shikamoo Mourinho.....

Oh ana paki basi oh sio kocha oh mjanja mnjanja tu.....khe khe khe ndani ya Emirates the blues wanasumbua........

Shikamoo Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…