Wakuu wa Gunners leo point 3 ni muhimu sana kwetu ili tupunguze gap na yule wa juu huku tukimuachia manyoya yule wa chini yetu. So kila lililo kheri kwa Gunners ni matumain yangu kuwa point 3 muhimu zinabaki pale Ashburton Grove.
Tukutane hapa wadau wote Mbu, BAK, Sizinga Wacha1, Richard utafiti et...al
#COYG
Niko hapa Mkuu nafuatilia huu mchapo wa mwanzo. 3 points ni muhimu sana leo.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lol!
Niko hapa Mkuu nafuatilia huu mchapo wa mwanzo. 3 points ni muhimu sana leo.
Pamoja sana mkuu
View attachment 247003
Pamoja sana hawa jamaa wanabwabwaja sana hawa leo inatakiwa waziache point pale emarate ukizingatia manure sasa hiv ananyonyolewa.
Mtajuta kutufahamu....
Shikamoo Mourinho
Hili likitokea Mkuu, Jumapili hii itakuwa tamu sana.
Natumai laweza tokea mkuu coz sisi pia tupo vizur kwa sasa.