Nipo Mkuu siye wengine tunafuatilia michezo mbali mbali. Just to name a few they include basketball, tennis, formula 1, goroli 🙂🙂 etc. Kuna mchapo mzuri unaendelea kwenye TV kati ya Southhampton na Spurs ndio naufuatilia sasa hivi.
Zaidi ya soka labda tennis, rugby na F1 kidogo...! I've never liked basketball sijui labda nature ya mchezo ndio siipendi.
Wenzako wote wanaogopa kuja huku, hongera kwa kujitutumua kuja ....... nipelekee salamu zangu kwa Ntuzu kunguru mjanja na b5-click.........
Eli79 mwanangu narudia tena uwe hodari na moyo wa ushujaa tu.........
Kwahiyo nyie ni mabingwa wa London kiyu-UEFA????Aisee tupe japo heshima kidogo basi Eli79 maana sisi ndio timu ya kwanza ktk jiji la London kuchukua kombe la UEFA sasa kuongea bila kuonyesha heshima unakua unakosea sn mukulu.
Sijapaona aisee...naona umeandika majogoli...
Mourinho uefa haijamshinda Na hao kina Ancelloti ndio saizi Yake Mourinho Na sio Wenger. Wenger anashindwa ata Na Di Matteo. Di Matteo alishawahi kua bingwa Wa ulaya Wenger alishawahi?
PSG bahati ilikua yao tu lkn hawana lolote wale.
C O Y G..
Naona leo domo kaya atakuja na mabasi yote ya LONDON!
Ila ushindi upo...
Wakuu wa Gunners leo point 3 ni muhimu sana kwetu ili tupunguze gap na yule wa juu huku tukimuachia manyoya yule wa chini yetu. So kila lililo kheri kwa Gunners ni matumain yangu kuwa point 3 muhimu zinabaki pale Ashburton Grove.
Tukutane hapa wadau wote Mbu, BAK, Sizinga Wacha1, Richard utafiti et...al
#COYG