Arsenal (The Gunners) | Special Thread

(Mnong'ono)..."ngojeni kwanza, wamepewa 7extra minutes...
......Shhhhhhhh!!!...."
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (6 members and 1 guests)
Balantanda, Arsene Wenger, Baba Mkubwa, Kiraka, MpigaFilimbi, Wacha1

Wenye nyumba ya jirani sijui wako wapi leo(au ndo mambo ya shhhhhhhhh kimyakimya)🙂🙂
 
...Na mpira umekwishaaaaaa (Chelsea 1 - 2 Everton)! aha haaa haa haaa..😀😀😀
Hebu nikalale mie....

Wacha1, picha tafadhali!!!
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (6 members and 1 guests)
Balantanda, Arsene Wenger, Baba Mkubwa, Kiraka, MpigaFilimbi, Wacha1

Wenye nyumba sijui wako wapi leo(au ndo mambo ya shhhhhhhhh kimyakimya)🙂🙂

Kaka hujasikia waliotufunga wamefungwa....kaka mbona mimi umeweka
 
Chelski wamelala kwa Everton, that's all about a game called football! Wenger na ujeuri wake alisema 'Teams will drop points': sure hazijapita siku nyingi!!
 
...Na mpira umekwishaaaaaa (Chelsea 1 - 2 Everton)! aha haaa haa haaa..😀😀😀
Hebu nikalale mie....

Wacha1, picha tafadhali!!!
Picha ni muhimu wakuu....walizani kutufunga basi wamemaliza ligi....Arsenal leo tunatamba, Chelsea wakalale.....

Where are these people masanilo, peasant.....watakuwa wapo kufuatilia utekelezaji wa Richmond.....tehe
 
Ile spot kick ya mwisho mmeponea chupichupi!!!!, refa kaamua ipotezea.....anyways cong's congs fellas!
 
[B said:
Balantanda[/B];
Mkuu edit post yako moja ulipotaja majina, mimi si Baba Mkubwa+, ni Baba Mkubwa......ukienda muhimbili ulivyoandika basi watu watajuwa Arsenal haijashinda na leo.....
 
Mkuu edit post yako moja ulipotaja majina, mimi si Baba Mkubwa+, ni Baba Mkubwa......ukienda muhimbili ulivyoandika basi watu watajuwa Arsenal haijashinda na leo.....

Nimeedit tayari..Ila inavyoonekana ndo kama nilivyoandika awali Baba Mkubwa+,sijui ni kwa nini ati
 
Mmesikia lakini Everton 0 - 3 Chelsea makubwa haya. Namtafuta Invisible , Masanilo aka Kikojozi na peasant sijui wako wapi hata kabla ya mpira walikimbia sijui hawakutoa fweza leo?
 
Mmesikia lakini Everton 0 - 3 Chelsea makubwa haya.

...ndio matatizo ya kuangalia TV upside down hayo,...wameona wapi? 😀

Picha mkuu,
yaani ningeweza kukuwekea thanks mbili mara mbili ningekuwekea leo,
picha muhimu kabla cloroquine za leo hazijaacha kuwawasha!
 
Nimeedit tayari..Ila inavyoonekana ndo kama nilivyoandika awali Baba Mkubwa+,sijui ni kwa nini ati

Nimecheka sana, nimegundua hiyo + maana yake sasa Arsenal ni ushindi hadi ligi inaisha..........si unajuwa nilifundishwa hesabu na mwl nilipokuwa daraza la kwanza kuwa + ni kuongeza, kwahiyo Arsenal sasa ni kuongeza kwa kwenda mbele

Arsenal 1 Liverpool 0.....mpira umekwisha...........tehe
Everton 2 Chelsea 1.......mpira unakalibia kuisha....tehe
Hwa MU wamepona kweli, wee waache!
 
Man of the match: William Gallas. He just pips Martin Skrtel, who was outstanding, with the Frenchman's highlight being a last-ditch tackle on David Ngog.

Moment of the match: Nicklas Bendtner was booked for diving in the second half, despite their appearing to be contact just outside the box.

Save of the match: Manuel Almunia got just enough on a vicious strike from Ryan Babel that went on to hit the crossbar.

Talking point: Are Arsenal back in the title race?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…