Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Prof anakuna kichwa kujiandaa na mtanange wa Wembley chacha .... ... ..... ... patamu hapo!
 


Ramsey anaweka chuma wavuni ... ...



Wachezaji wa Gunners wakishangilia bao la Rambo ... ...







Alexis kama kawa alikuwa kila sehemu ya uwanja kuwania mpira
whatever the case .... ... .


Next Reading FA cup 18th April 17:20 BST live on BBC 1 or else welcome to Wembley.

BTW Tiger yupo Augusta 3rd round Live now .... ... ..
 
[h=1]Dr. Alban - Let the Beat Go On (HQ) [/h]https://www.youtube.com/watch?v=895FUyvNCuo

C O Y G
 
Endelea kurukaruka but kumbuka una point zangu 3

Hahaha wapenzi wa Manchester United bana, bado mnadhani mtatupiga ubaya kila tunapokutana sio? Subirini May muone tutakavyowatoa machozi na makamasi kwa mara ya pili mfululizo nyumbani kwenu.
 
Mkuu Eli79 mshindi wa kwanza ni kati ya sisi au chelsea. Man city na united ni 3 na 4 so usiwe na wasiwasi mkuu
exactly,mshindi wa kwanza chelsea,arsenal wa pili,man u na man city watagombania nne na tatu.


Arsenal hamwezi kuipita chelsea,tuna game mbili mkononi,hata draw tunakuwa tumewapiga gap.

pacha pliz think twice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…