Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja sana mkuu Sizinga kitambo sana mkuu Jana siye tulijipatia kitoweo cha Pasaka Jogoo alikuwa mtamu kweli.
Agh bhana, kuna majukumu flani ya kazi zangu aisee yananitoa kabisa mchezoni...yaani nakuwa mtu wa kusoma tu fastafasta bila kuchangia, lakini ngoja nitaback on fire soon...tuendeleze Libeneke mkuu...!! Ila nawasoma sana tu akina BAK na wengineo hapa!!
 
Last edited by a moderator:

Nimeyapenda hayo Maelezo...Big up kwa Facts!! You Shared.
 


The road to recovery .... ... Jack and Diaby ... today at Emirates





Alexi Iwobi under 21 scorer of a hat-rick against Stoke under 21






Arteta was there as well .... ...



Diaby in full swing ... . .

Matokeo Gunners 4 - 1 Stoke
 
Tarehe 26 ifike haraka ili tuwapige hawa Gunners maana wamezidi kelele!

Tumechoka sasa tuwapige tu! Eeeh. Tuwapige tu!
 
bodo kwanza, kuna gemu ngumu mbele yenu


Game mbili ndio mgumu ndio za kuchukulia ubingwa!

Chelsea vs Man Utd tarehe 18

Arsenal vs Chelsea tarehe 26

Hawa kwa sasa ndio wapinzani wetu. Na Dawa yenu ni kuwapiga tu. Liwalo na liwe mpigwe tu!
 
Game mbili ndio mgumu ndio za kuchukulia ubingwa!

Chelsea vs Man Utd tarehe 18

Arsenal vs Chelsea tarehe 26

Hawa kwa sasa ndio wapinzani wetu. Na Dawa yenu ni kuwapiga tu. Liwalo na liwe mpigwe tu!


Malizaneni kwanza na hao QPR ndio mje kwetu, mtatoa droo hadi mkome.
 
Malizaneni kwanza na hao QPR ndio mje kwetu, mtatoa droo hadi mkome.


QPR tunakwenda kuwazika wazimawazima weekend hii ijayo alafu ndio iwe zamu yenu sasa wapinzani wetu!
 
QPR tunakwenda kuwazika wazimawazima weekend hii ijayo alafu ndio iwe zamu yenu sasa wapinzani wetu!


Sio rahisi kama unavyodhani. Mechi ya QPR yaweza kuwa ngumu kwenu kuliko hata ya arsenal. Hamtoki kwa QPR...
 
Sio rahisi kama unavyodhani. Mechi ya QPR yaweza kuwa ngumu kwenu kuliko hata ya arsenal. Hamtoki kwa QPR...


Kiongozi ili tuwe ktk mazingira mazuri ya kuchukua kombe! Mchezo wetu na QPR lazima tushinde vyovyote vile! Alafu tukikutana na nyie mnaowania ubingwa km sisi tunatafuta sare tu! Tukifanya hivo tunakua tayari mabingwa!
 
Game mbili ndio mgumu ndio za kuchukulia ubingwa!

Chelsea vs Man Utd tarehe 18

Arsenal vs Chelsea tarehe 26

Hawa kwa sasa ndio wapinzani wetu. Na Dawa yenu ni kuwapiga tu. Liwalo na liwe mpigwe tu!
kipindi kama hichi cha mwisho arsenal huwa hawaharibu hata kidogo, ndio maana ata FA tayari tunalinyakua tu, kinachowafanya kuwa katika kiwango ni kupona kwa majeruhi wao
wilshere amerudi, arteta amerudi, saivi ni mwendo wa kushinda tu. tunasubiri gemu yenu na man u tuwaangalie, mkiharibu basi kwa arsenal hamtoki
 

Kuharibu kwa Man hicho kitu hakipo kabisa na kwenu msahau kabisa km mtaweza kutufunga. Sasaivi kila mchezo tunaocheza ni km fainaly kwetu!

Alafu ata km tukafungwa na wewe na ManU then michezo mingine yote tukashinda bado tu mtaweza kuchukua ndoo kutona na pengo la points lililopo? Hamuwezi ata kidogo.
 


Hivi Ntuzu, unakumbuka hadi December mlikuwa points ngapi mbele yetu??
 
Last edited by a moderator:
May sio mbali mkuu. Man city alifanya the same last season....


Ile ni Man City na hii ni Chelsea Mkuu!

Tena Mkuu usifikiri kwamba ni utani Mkuu!

Haiwezekani na haitowezekana bado michezo 7 ligi iishe na tuna mchezo mmoja mkononi alafu tunaongoza kwa tofauti ya points 7 mpk 8 dhidi ya washindani wetu waliochomoza hivi karibuni alafu eti tushindwe kuchukua kombe!? Yani ata km kwa kufia uwanjani wachezaji watakufa safari! Alafu washindani wetu ndio tunakutana na nyie hivi karibuni alafu tuwaache kweli? Huu utakua ni wehu kabisa.
 

musifungwe kwa nini na huu ni mpira, tusubiri siku zisogee mbele, ndani ya weekend hii kuna timu kubwa zitalia, wewe subiri tu mkuu tusiongelee mechi kati ya man u na arsenal bado mapema, ila ligi bado ngumu
 
Mkuu b5-click njoo huku ili jukwaa la waheshimiwa lithibitishe kauli yako. Thibitisha yale tuliyokubaliana kule darajani.
Cc. Ntuzu, Mentor na chief Invisible.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…