Maneno haya niliyasikia pia kabla man u na arsenal, kombe la FA. Kilichotokea baada ya dakika 90 siri yangu siwezi kusema hapa
Hahahahahaha lol! unataka everlenk anune aishie kuaga asirudi tena hadi J'pili lol!
Ilibidi tujipe moyo kiukweli kwa kipindi kile hali ilikuwa mbaya sana na falsafa za LVG,lakini unaona siku ile at least tulibadilika kidogo lakini kwa jinsi tulivyokuwa hovyo nilijua mngetuchapa week kabisa!!! lol

Hmmmmm! Hii si falsafa ya LV Girl bana sasa mbona mlikuwa hamshindi!? na mashambulizi yenu yalikuwa ni ya kusuasua mkifanya shambulizi 2015 linginge mpaka 2018? lol!
Tumehuzunika kutolewa UEFA rakini hii itatusaidia kukaa top 4au kuchukua ubingwa wa premier
Kwa jinsi navyompenda Barca potelea mbali Man city wakafie mbali, halafu kwenye Laliga jumapil si wanacheza na RM? Au?
mmetolewa ila kwa mbinde...
Hauta enjoy hiyo El CLassico sababu Sterling atakuwa kaisha kuvuruga masaa ma 2 tu yaliyopita kwa kutupia mbili za haraka haraka
Thubutuuuuu!!! Yaani siku ya jumapili ni raha kwa kwenda mbele,hata yakiwa mabaya mwanaume Messiya atanifuta machozi El Classico si ya kukosa hata kidogo.
Najua utafurahia kumuona kijana wetu Suarez akitupia!
Barca naipenda sasa sababu ya kijana wetu
Suarez the Vampire kawa mtaaam kuliko Mcharo......
arsenal wamenanihiwa ila kwa mbiinde kweli...
Wanaonifurahisha hapa lazima niwape likes, basi usiiweke hapa na kumpa heart attack Mkuu utafiti lol!
Mi ntaiweka......maana kule kwetu uliweka uliweka wale watoto wmevaa DDDDD. Nakutania mkuu siiweki bhana Usije Ukapotea humu.
Mi ntaiweka......maana kule kwetu uliweka uliweka wale watoto wmevaa DDDDD. Nakutania mkuu siiweki bhana Usije Ukapotea humu.
Wenger analalamikia rule ya away goal, anaweza akawa na point lakini in the last ten years ni mara ngapi Arsenal wametolewa kwa away goal?
Hivi wangefuzu away goal bado angelalamikia hiyo rule?
Alipikwa vyema chuo cha mafunzo Melwood
Nyie hamuwezi kumuivisha mchezaji tena ehehehehe
Hivi kati ya Ajax na Liverpool wapi alikaa muda mrefu zaidi?
arsenal wamenanihiwa ila kwa mbiinde kweli...
everlenk mwambie BAK na utafiti si mimi nilie weka hiyo picha......View attachment 236033
Poleni na uchovu.., khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
View attachment 236033
Poleni na uchovu.., khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee