Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa AM na Leverskuen wako 1-1 wameongezewa muda wa ziada ni dakika ya 117 bado 1-1 kuna uwezekano wa matuta kwenye hii game.

Wahaao!!! Nimefurahi kukuona hapa mpenzi nilijua ndo kamba tayari unaitafuta maana ulitoweka ghafla.......

Mi napenda AM wapite hizi timu za ujerumani zilizoingia zatosha.....
 
Wenger ana rekodi mbaya kuliko Kocha yeyote yule katika UCL yaani katika misimu yake 17 amecheza FINAL moja na Nusu fainal basiiii zaidi ya hapo ni mshiriki bora.
 
Reactions: Nzi
Wahaao!!! Nimefurahi kukuona hapa mpenzi nilijua ndo kamba tayari unaitafuta maana ulitoweka ghafla.......

Mi napenda AM wapite hizi timu za ujerumani zilizoingia zatosha.....
nimefurahi ATM wamepita,kwa spain ndo nawashabikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…