KWA NINI ARSENAL ATAMFUNGA MONACO;
1; ARSENAL WAKO ONFIRE. arsenal hajapoteza mechi wala kutoa sare tangu 25 february 2015. ameshinda mechi zake zote nne alizocheza ikiwemo ya Man Utd ya kombe la FA.
2; Giroud hawezi kurudia makosa yale yale. 14 goals and 17 assist kwa striker hatari Oliver Giroud katika mashindano yote. Naamini kijana atahitaji kuonyesha kwamba game iliyopita ilikuwa bahati mbaya hivyo lazima atupie hiyo jumanne.
3. kiungo hatari ARON RAMSEY amerejea kutoka majeruhi na kiwango bora kabisa. Jambo hili litapelekea arsenal kukaba kwa nguvu na kufanya mashambulizi ya haraka mnoooo, jambo litalopelekea kupata ushindi mapema na kumaliza kidedea endapo mzee ataamua kumuamini Ramsey. hii ni kutokana itabidi amsogeze Cazorla juu kidogo na Ramsey kuchukua majukumu aliyokuwa anayafanya fundi Cazorla.
4. Record ya ARSENAL UCL; Mechi nyingi alizopoteza mzee first leg huwa apotezi second leg. rejea bayern Munich na Dortmund.
Kila la kheri goons.