Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Sasa Honey Faith uwe unazuka kila mechi basi ili utuletee kismat chako tangu uje tunashinda tu, ukiweza kuzuka hapa katika mechi zote 9 zilizobaki hivyo kushinda zote na kujinyakulia 27 points tutatisha sana na hivyo kuziweka roho juu timu zilizo mbele yetu.
Hata nisipozuka ila sala zangu ni kama nipo tu na nyie.Hapa furaha tele
#mburukenge watatoa draw kesho kama sio kulizwa lol
Sala zako zinakuwa na nguvu sana ukizuka hapa, hivyo jitahidi uwezavyo.
Nilikuja kukulizia wameniambia umelala
Hahahahahaha lol!!! ungewaambia mwambieni ni Utafiti wa JF angeamka mwenyewe usingizi wote ungemruka ππ
Nilikuja kukulizia wameniambia umelala
Hahahahahaha lol!!! ungewaambia mwambieni ni Utafiti wa JF angeamka mwenyewe usingizi wote ungemruka ππ
Sawa nitashukuru maana huyu utafiti ananibania.
Umeona eeeh tatizo muoga anamuogopaga mama yangu ni mkali balaa si ajabu hata hakuniuliziaπ
Arsenal nafasi yao itakuwa fourth. Utd second city third Chelsea bingwa