Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BAK na utafiti sijui niwaombee njaa tu au? Lakini dua la everlenk halimpati BAK.

Kila la heri best zangu katika mechi ya leo.
[MENTION=10470]everlenk bado tu hujasahau maumivu?? Mbona wiki sasa inaisha, hahah binafsi nakuombea wewe kesho ushinde ili wale wajuu ushindani uwe mzuri zaidi, sisi mda si mrefu tunaongeza points 3
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri nawe unahitaji ushindi ili watu pale OT waweze kutabasamu maana wamenuna mpaka wanaonekana wazee kwi kwi kwi kwi kwi Dua la everlenk halimpati BAK ila linampata Mupenzi wa Chelsea 🙂🙂🙂...Sijui kama Nzi atakuja leo huku au ataamua kuchungulia kimya kimya.

BAK na utafiti sijui niwaombee njaa tu au? Lakini dua la everlenk halimpati BAK.

Kila la heri best zangu katika mechi ya leo.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha!! Wewe unajidai kwa sababu ni my first love wangu ngoja nikupige chini uone madua yangu yanavyotenda kazi, we mkifungwa leo watakuja wote na kigodoro kinafunguliwa hapa hapa kama cha siku ile kwa Chelsea!!!

Nashukuru hata kwa kunipa hiyo heri ya unafiki najua hunipendi kabisaaa lol
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
No, wanatakiwa kutunguliwa kesho au kutoa draw.Hakuna haja ya kuwaonea huruma
 
Last edited by a moderator:
Mshughulikie mupenzi japo uji utamsaidia apate nguvu ya kuweza kutoka hata kitandani japo kwa masaa machache. Anahitaji kula ili apate nguvu. Haya ngoja niendelee kufuatilia hii game tunahitaji at least goli kabla ya half time ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua 3 points.

 

leo naikosa game yenu,uje unihadithie badaye hata kama mtacheza vibaya unihadithie yote,mi nafatilia hapa na live score.
 
Reactions: BAK
Sasa angalau nitarelax kuangalia kipindi cha pili, tulipata goli nyingine mbili itakuwa poa sana. HT 1-0 Arsenal.
 
Mlitakiwa kuwa mbele goal kama 3 hivi. Walcot kapoteza nafasi mbili za wazi. Second half Wenger ampumzishe.
 
Honey Faith akihakikisha ushindi basi huwa hakosei, ila sijaridhishwa na kiwango cha uchezaji anao anao nyingi sana hasa tunapokuwa kwenye goli la WH. Kwa kiwango hiki sidhani kama tutaweza kuwafunga Monaco 3-0 kwao hiyo March 17, 2015.

leo naikosa game yenu,uje unihadithie badaye hata kama mtacheza vibaya unihadithie yote,mi nafatilia hapa na live score.
 
Last edited by a moderator:
BAK Hongera sana ushindi kwanza viwango vya ubora badaye.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…