Wee acha tu...nilikuwa nakula Jackerz hapa huku nikiwa nimejilaza kwenye sofa lakini baada ya kufungwa lile goli zile Jackerz nimezitupa na hapa naona nyota nyota tu
babatoooovu! ndio basi tena. la kuvunda halina ubani...na mdharau mwiba mguu huota tende. mnajifanya barcelona kushambulia hadi akina gibsi wanaingia kwenye boksi, cha moto mmekiona.