DonDonald. Muda si mrefu na nyie mtaungana na Liverpool katika kuzisikia nafasi za UCL, maana hadi sasa mmeshawafikia katika kutumia pesa nyingi kununulia magarasa.
Cc Malafyale
Giroud anazidi kuwaumiza ma-hater wake. hadi sasa ni Crystal Palace 0-2 Arsenal. Wanasema mpira ni magoli na striker lazima awe mfungaji. Haya sasa half time hiyo.
Hii formation ya mwishoni mwishoni naomba isitulize. Kos, Per na Paulista nyuma tunajaza watu katikati tuwazuie Palace.
In the other news Chelsea 1-1 Burnely, Swansea 2-1 Man United. Dakika za mwishoni katika kila mechi. Naomba mechi ziishe hivi