Huyu anatufanya vibaya kila wakati, sijui ana usongo gani na sisi. Ni half time tukiweza kupata kifutio machozi kabla ya 65 mins na kuwa 2-1 basi chochote kinaweza kutokea lakini jamaa wakiona nyavu zetu kwa mara ya tatu basi mpira utakuwa umekwisha.