Dah! 2-1 sijui kwanini Babu alisubiri kumuingiza Walcott zikiwa zimebaki dakika chache badala ya kumuingiza baada ya half time, maamuzi yake mara nyingi ni very questionable.

Babu maamuzi yake ni ya kustaajabisha, baada ya kuona mashambulizi makali kabla ya halftime, ilibidi aongeze nguvu mstari wa mashambulizi kwa kumungiza Walcott, wote tunajua Walcott anapokuwa uwanjani huongeza nguvu sana mstari wa mashambulizi na speed ya kushambulia huwa kubwa sana, lakini kama kawaida ya Babu hakufanya lolote na hivyo mashambulizi dhidi yetu yakaendelea mtindo mmoja na sasa yametugharimu labda katika mechi ambayo tulistahili kushinda tunaweza kuishia kupoteza points zote tatu. Aaaaaaarrrrrrggggggghhhhhh!