sijawahi kuona kocha mpuuz kama wenger yani anamsingizia kuwa SANCHEZ ni majeruhi wakati SANCHEZ mwenyewe yupo fiti kucheza mzima wa afya lakini wenger anamsingizia ni majeruhi....nia yake nikuona michezaji yake walcot,giroud na welbeck wacheze.......kitendo hiki cha wenger kumsingizia sanchez ni majeruhi kimenikasirisha sana.......sanchez ni injini ya timu lakini wenger anamfanyia fitina sanchez.......yangu macho kesho na spurs kwa hao wachezaji wake anaowaamini tuone
Wakuu wa Gunners msimu uliopita mechi za mchana zilitupa shida sana but kwa sasa natumai kikosi kipo vizuri na tunaweza pata matokeo mazuri.
COYG.
Mkuu mwaka jana karibu mechi zote za mchana tulipoteza, naamini mwaka huu haitatokea