Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger ni mteja tu kwa Jose Mourinho.


Mshaanza kulinganisha eeeh, ngoja mtolewe kamasi saivi. Mnaanza kuwa na majeruhi kipindi hiki cha muhimu sana, mtaanza kuppteza mechi sana saivi.
 
Mshaanza kulinganisha eeeh, ngoja mtolewe kamasi saivi. Mnaanza kuwa na majeruhi kipindi hiki cha muhimu sana, mtaanza kuppteza mechi sana saivi.


Hahaaaaaa nimepita kuwatania tu majirani zangu....
 
Karibu sana kiongozi, sisi tunaanza ligi rasmi dhidi ya tottenham. Baada ya hapo utaiona arsenal...!

All the best mkuu......sisi tumeongeza striking force ili tutwae makombe...................
 

Lakini pia ni mahasimu hawa toka Mji mmoja na mwaka jana walikua katika tenda ya kugombania uwanja mpya wa olimpic spurs alibwagwa
Na kupelekea sasa kua na mpango wa kujenga uwanja mpya wa kwake mwenyewe ambapo wataufanyia matengenezo makubwa white Hart Lane pamoja na kuongeza uwezo wa kuchukua watazamaji zaidi.
Huenda kuanzia msimu ujao wa katumia uwanja wa mk dons. Wenger alikua tayari apokezane nao emirate but mashabiki wao wakaja juu...
 
Wapenzi wa Klopp mnafuatilia mambo makubwa anayofanya na Borussia Dortmund hivi sasa? Jamaa ni Genius ameitoa B.Dortmund ilipokuwa miaka 3 iliyopita hadi ilipo sasa. Nani mwingine anayeweza kufanya maajabu kama haya?
 
Wapenzi wa Klopp mnafuatilia mambo makubwa anayofanya na Borussia Dortmund hivi sasa? Jamaa ni Genius ameitoa B.Dortmund ilipokuwa miaka 3 iliyopita hadi ilipo sasa. Nani mwingine anayeweza kufanya maajabu kama haya?


BvB saivi wanashika mkia aisee, kweli soka ni mchezo usio na haya..!
 
Dah Sanchez hatoweza kucheza jumamosi. Kama kawaida yetu ameingia wodini kama kina Diaby, Wilshere ingawaje walisema ilikuwa minor injury. Anyway, kikosi kilichomwondoa Aston Villa kwa mkono kinaweza kumwondoa Spurs vile vile
 
Dah Sanchez hatoweza kucheza jumamosi. Kama kawaida yetu ameingia wodini kama kina Diaby, Wilshere ingawaje walisema ilikuwa minor injury. Anyway, kikosi kilichomwondoa Aston Villa kwa mkono kinaweza kumwondoa Spurs vile vile

Mkuu wala usiwe na wasiwasi kabisa.

Nafasi ya Sanchez tayari imezibwa na Mesut Ozil na ndie atakaeanza kucheza namba hiyo 10 akisaidiana na Theo Walcott pembeni kushoto.

Sasa hivi kuna wachezaji wengi wamerudi hivyo tatizo la kukuna kichwa kwamba ooh! hakuna cover halipo.

Piga goli Tottenham,

COYG!
 

sijawahi kuona kocha mpuuz kama wenger yani anamsingizia kuwa SANCHEZ ni majeruhi wakati SANCHEZ mwenyewe yupo fiti kucheza mzima wa afya lakini wenger anamsingizia ni majeruhi....nia yake nikuona michezaji yake walcot,giroud na welbeck wacheze.......kitendo hiki cha wenger kumsingizia sanchez ni majeruhi kimenikasirisha sana.......sanchez ni injini ya timu lakini wenger anamfanyia fitina sanchez.......yangu macho kesho na spurs kwa hao wachezaji wake anaowaamini tuone
 

Mmmh, mkuu source ya taarifa yako ni ipi?
 
Sokoine ww na wenzako ni wataalam wa kuangalia soka kwenye TV...Wenger ana sababu gani kumfitini mchezaji aliyemsajili mwenyewe kwa hela nyingi? Inakujia akilini kweli. .??Spurs tutamchapa hata akicheza babu yangu upande wa mama! Mark my words!
 


Mathieu Flamini, Kieran Gibbs, Olivier Giroud, Mesut Ozil and Gnabry (left-right) walk out to the training pitches at London Colney





Prof Wenger watches his first-team squad train at London Colney on Friday as he prepares to make his team selection for Tottenham on Saturday





David Ospina, pictured in training on Friday, has recently ousted Wojciech Szczesny from the No 1 goalkeeping spot at Arsenal





Serge Gnabry strikes a ball during Arsenal's training session at London Colney on Friday





Arsenal defender Calum Chambers (left), signed from Southampton in the summer,
shakes hands with Wenger before the training session




Cazorla (left) and Walcott look focused as they prepare for the trip to White Hart Lane




Nacho Monreal, trying to keep warm in gloves and a snood

in the cold Friday morning weather





Cazorla, Ramsey, Per Mertesacker, Gabriel Paulista and Theo Walcott (left-right)

take part in a drill during Arsenal's pre-Spurs training session




Krystian Bielik smiles during training at Arsenal as he settles

into his new surroundings in north London





Francis Coquelin


Hector Bellerin (left) has been impressive this season; he strikes the ball in training on Friday as manager Wenger watches on





Alexis huyu hapa .... ...





Guess who?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…