Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mzee Wenger alitoa agizo kwamba Francis Coquellin aanze kufanya mazoezi mepesi baada ya kuona vijana wa Brighton wameanza kumzungusha Mathieu Flamini.
 
Theo Walcott na Olivier Giroud wanatoka na Chuba Akpom na Alexis Sanchez wanaingia.

Dakika inakwenda ni ya 73
 
Safi sana Giroud na Walcott muhimu sana next match EPL ... ... ....
 
Zimebaki dakika 15 mpira kwisha na Francis Coquellin anajiandaa kuingia.
 
Reactions: BAK
Francis Coquellin anaingia badala ya Mesut Ozil kujaribu kulinda goli kwenye dakika 10 za mwisho.
 
Szczesny nafasi yake ipo hati hati magoli ya kiwendawazimu tu baada ya kuji-commit ..... ... ...
 
Reactions: BAK
lol!!!! hahahahahah ushindi wetu banaaa usihofu 🙂🙂...ulienda kutuchawia tufungwe? maana umepotea kipindi lol! hahahahaha

Mbona kiwewe tena usipanick mpendwa wangu....nasikitika kwa mbali na wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…