Kwa timu ya mchangani ambayo bajeti yake ya mwaka mzima ni sawa na mshahara wa Di Maria kila baada ya siku 38 kutoa sare na MANU kwao ni achievement kubwa sana, hivyo walikuwa na haki ya kushangilia kama vile wameshinda kombe na msipokuwa waangalifu wiki ijayo basi mnaweza kuadhirika, they have nothing to lose...🙂 wakikuboa hao MANU karibu kwetu najua unatuhusudu 🙂🙂