Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Pamoja sana mkuu dogo anacheza vizuri sana kuliko hata flamini but binafsi naamini bado ni mapema mno kuendelea kumuamini jumla nadhani itakuwa vyema sana kama mzed Wenger akisajili kiungo mkabaji mzuri na mwenye uzoefu ambaye atamsaidia bwana mdogo ajifunze mambo mengi zaidi kutoka kwake.
 








Francis Coquelin was also possibly worthy
of the man of the match accolade for his performance





Koscielny alikuwa akila kuku na Aguero




OG alikuwa moto




Demichelis alikuwa haoni ndani


BTW OG wamempa 8.5 performance kwa mechi ya jana baada ya kuangalia
mtanange kwa mara nyingine maana alikuwa hot ... .


BTW Prof aliahidi jana baada ya game kwamba atatoa zawadi kwa wachezaji wake baada ya kuangalia mtanange tena, yaani according to performance, huenda nikawapa hii habari soon as it comes. COYG
 

Kama wao ni timu kubwa ni kosa la jinai kumtegemea mchezaji mmoja.
 
Kama wao ni timu kubwa ni kosa la jinai kumtegemea mchezaji mmoja.

Wao katika timu yao wamemkosa Toure tu! sisi tumekosa wangapi mbona hawaorodheshi majina!shame on haters tulikosa wachezaji wa tano wakikosi cha kwanza.
 
Kwa approach aloitumia babu j2 ndiyo ilokuwa inatakiwa kutumika mara zote akikutana na liva,man yuuu na Chelsea. Game yake na man yuuu na ile ya Chelsea alipoteza kwa kukosa mipango kama alotumia kwa man city
 
welcome bielik The versatile 17-year-old
Poland youth international can play
in both holding midfield and at
centre back
 
gabriel paulista yuko njiani
 

Attachments

  • 1421879325695.jpg
    27.9 KB · Views: 127
dili inasemekana kuwa around £20 million japo arsenal hawataki kutoa kiasi hicho.na mazungumzo bado yanaendelea kupunguza hyo bei...
 


Krystian Bielik is a "huge talent" who has shown "positive signs" in training, according to Arsène Wenger.

Kijana katulia ... ..... prof kachema kijana atawashangaza wengi ..... .... good buy. #COYG
 
Reactions: Mbu


Krystian Bielik is a ¡°huge talent¡± who has shown "positive signs" in training, according to Ars¨¨ne Wenger.

Kijana katulia ... ..... prof kachema kijana atawashangaza wengi ..... .... good buy. #COYG

kama kawaida yake kusajili mateenager!
si tunasubiri akue tunamchukua kiulaiini nae mje kumwita eskarioti!
GGMU
 
kama kawaida yake kusajili mateenager!
si tunasubiri akue tunamchukua kiulaiini nae mje kumwita eskarioti!
GGMU

Huo ndio tunaita wivu wa kike. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
sisi na nyie nani ana wivu wa kike?!mkiongozwa na le pressori mkaona bora mpate hasara mkatubania vermaelen mkampeleka barca kwa bei ya kutupwaaa!
wakeuup goons!
GGMU
 
sisi na nyie nani ana wivu wa kike?!mkiongozwa na le pressori mkaona bora mpate hasara mkatubania vermaelen mkampeleka barca kwa bei ya kutupwaaa!
wakeuup goons!
GGMU

Wacha uongo, mkubwa wewe sasa .... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nafahamu unawashwa na hili kombe hapa chini .. . .. .. hulipati ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooo




Lipo limetulia Emirates ... .. ..
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…