Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[video]https://vine.co/v/OjIvah0mFYe[/video]


[video]https://vine.co/v/OjIrPFYxZYj[/video]​
 
Nilinunua kifurushi kwa ajili ya mechi hii na AFCON...! Asante Arsenal kwa kuturuhusu kutabasamu. Sasa tunasubiri kucheka.
 

Kijana naona anazidi kuimalika kila kukicha na nadhan itakuwa ni vema mzee wenger akisajili another DM wa kusaidiana na kuja kumpa dogo changamoto na ujuzi ili aimalike zaidi.
Yote kwa yote hongera kwa Gunners wote point 3 muhimu kuchukuliwa pale Etihad haikuwa kazi rahisi.
 

that was a mature,controlled professional perfomance.......if arsenal can play like yesterday against top half oppositions you will win the league or ECL very soon, i would be proud if my team played like that....coquillin[??] ni mzuri sana DM, very composed anajua positioning sio kama flamini anaekimbiakimbia hovyo.....hongereni.
 

Werawera Mtani jana mmetisha,mmecheza kandanda moja safi sana,kwa hilo hongereni sana,yaani nawapa mia mia,ila BAK mshukuruni sana Yaya Toure kukosekana,la sivyo mngechezea kichapo mtani,Man City bila Yaya Toure wanapata shida sana. Hongereni sanaaaaaa.

CC : adolay utafiti
 
Last edited by a moderator:

Hahaha everlenk ile kandanda ya jana ilinipa raha sana, sasa tunataka nafasi yetu so mjiandae kutoka hapo nne bora
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Loh!! Hatoki hapo sisi tunataka turudishe nafasi yetu toka kwa Southampton ingawaje na yeye king'ang'anizi sana.

Yule nae anataka kucheza uefa kwaio inabidi man u asiende, inaweza kua ni arsenal, chelsea, man city na southampton
 
Yule nae anataka kucheza uefa kwaio inabidi man u asiende, inaweza kua ni arsenal, chelsea, man city na southampton

Aiseee una utani wa ngumi wewe ehh!! Yaani sisi tutoke? Nyie ndo mtatoka sisi moja kwa moja UEFA ombeni Southampton alegeze muingie.
 
Hahah kwa kawaida jiji la manchester inatoka timu moja kucheza uefa, sasa kama city atakupisha sijui....
Hatoki mtu hapo nyie ndo mtaachia safari hii jiji linaingiza timu 2,mna rekodi nzuri sana ya kila mwaka kuingia lakini matunda hamna embu tuachieni sisi angalau tutawaletea matunda,kismati kipo....
 
Hatoki mtu hapo nyie ndo mtaachia safari hii jiji linaingiza timu 2,mna rekodi nzuri sana ya kila mwaka kuingia lakini matunda hamna embu tuachieni sisi angalau tutawaletea matunda,kismati kipo....
everlenk "Mtoto yake nepi", man u kazoea mechi za mchangani zile za europa, mikiki ya ligi ya mabingwa ataweza wapi??
Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…