Lol sijatoa kisingizio wala sababu ya kufungwa. Tumefungwa fair and square sababu kubwa ni uzembe wa kipa wetu. Ndio tulichofungiwa. Hata hivyo huwezi kutozingatia idadi ya wachezaji tuliowawakosa leo. Kama wangekuwepo inawezekana mechi ikawa tofauti au la. hatutaweza kujua kama wachezaji hawa wangeweza kubadili sura ya mchezo au kutobadili, ndicho nachosema.
Wachezaji waliokosekana leo kwa ujumla, keyword UJUMLA ni hawa Welbeck, Ramsey, Arteta, Wilshere, Ozil, Gnabry, Ospina, Giroud(suspended), Sanogo, Podolski, Flamini, Diaby. Wengi wao ni maumivu/Majeruhi, wachache ni match fitness na suspensions. Idadi inasikitisha kwa kweli. Medical team yetu itakuwa imetoka chuo cha afya Muhimbili.
Per Mertesacker stretches to try and hook Sadio
Mane's shot off the line but can only touch the
ball into his own net
Watu hawaamini kwamba tuna wachezaji kumi na mbili ambao watarudi kwenye first eleven soon .... .... .... .. .COYG
Hommie, it's too late. Ni january hii mmevunja rekodi mliyoiwekaga 1993/1994. Mechi 20 pts 33. Southampton wamemiss wachezaji waandamizi pia leo.
Ulisema kuwa..leo mmekosa wachezaji 12..sasa si ina maana wangekuwepo pengine mngeshinda ama? Hivyo ndivyo visingizio chifu..
United pamoja na backline ya kujikongonya, tunasonga mdogomdogo...hata siye tuna majeruhi ya key players (Di Maria, Valencia, Fellaini, Rojo, na Blind) hawa wote ni starters wakiwa fit..
Tatizo la goons hamtaki kukiri tatizo kuu la timu, A. Wenger. Jamaa kaishiwa, asipokuwa mjanja kama SAF, ataondoka na aibu.
Mkuu soma post yangu yote uielewe. Utapata jibu la swali lako. Anyway, ukilinganisha na missing players wenu na sisi unaweza kusema kwa kiasi fulani kimechangia kwa sehemu fulani kutofanya vizuri kwetu msimu huu, 4 kg ya Unga si sawa na 3 kg ya mawe. Narudia leo kilichotuangusha kwa kiasi kikubwa ni makosa ya kipa.
Siyo kumiss tu...wameuza key players wao..hivyo timu ni kama mpya..lakini goons wamekalishwa..
Alafu kweli nilisahau kabisa hiyo, Lallana, Lovren, Chambers, Lambert, Shaw, na Rodriguez yupo majeruhi pia bila kusahau Clyne na Morgan kasimamishwa. Licha ya kuuza wachezaji waandamizi wa msimu uliopita, na kuwa na majeruhi watu bado wamekalishwa na bado wako chini ya The saints. Totthenhan na Liver zikaze, safari hii hata lile kombe lao hamna.
Mkuu sisi tunatetea FA cup mwaka huu nyinyi mna kombe gani mnalotetea? kombe kongwe kuliko kombe lolote lile kwenye soka hapa duniani.
Huo msimu ulishapita. Sidhani kama kuna malipo ya ziada unapotetea ubingwa wa FA. Ni historia tu kwa sasa ambayo kila timu ina historia. Isitoshe, kama unataka tuongelee historia vikombe vyote vyenye HADHI mlivyowahi chukua nasi tunavyo, bila kusahau UEFA Champions League cup kipo pale darajani. Sijui una lipi la kusema hapo.
Washabiki wa Chelsick mna matatizo hapa siongelei historia hivi sasa mabingwa wa FA cup ni Arsenal hiyo sio historia ni reality. Nyie ndio mnaoongelea historia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Tutakuwa sio mabingwa wakati hilo kombe atakapopewa mshindi mwaka huu kwa sasa tunaringa (Upende usipende maana nyinyi tunawafahamu hamkubali facts) nalo hata ukiuliza popote pale sasa hivi utaambiwa Gunners ndio mabingwa sio Chelsick waliochukua miaka ya nyuma hiyo ndio historia upo hapo khe khe khe khe he khe khe hekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kabla ya kulichukua hiyo 'juzi' mara ya mwisho mlilichukua lini? Na baada ya hapo sisi tulilichukua mara ngapi? Obvious, kombe ni moja hivyo haiwezekani likachukuliwa na timi mbili kwa wakati mmoja. Ila pia nakumbuka draw yenu mpaka mkachukua ilikuwa mteremko sana, mlipewa vibonde na vitimu 'vikali' Spurs na Liver mkapewa mchezee kwenu. Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wakuu wa Gunners sisi ndio watetezi wa kombe la FA cup ambalo
wiki hii lilipelekwa kule South Pole kuonana na hawa viumbe maarufu
... . Penguins
Chelsick walitoka mfuto yaani mrisi ... .Zero hawana cha kutetea
chochote mwaka huu na watatoka mfuto
kama kawaida yao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaron Ramsey aka Rambo ndiye aliyetikisa nyavu za Hull City
kwa goli la ushindi mnono ... ... ..
Baadaye leo jioni tukutane pale Emirates kama ada wakati tunawakaribisha vijana kutoka North New Castle ... ... kick off 5:30 GMT .... .. patamu hapo!
Umeanza kula matapishi yako chacha uwe unasoma na kuelewa nini kinaongelewa khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tena kama hufahamu Khe khe khe he kheeeeeeeeeeeee nina hati miliki au hufahamu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo Emirates nikuonyeshe kombe.
Kamstrom atawafaa.Wenger aachage ubahiri wake wa ajabu atutafutie DM Wa ukweli ni aibu kufungwa na kitimu kama hicho
Tatizo lenu mnaongea sana vijitu vya arse-nil, ila mtaendelea kuchezea vichapo kama kawaida na makombe msahau. Hilo kombe la FA na ligi utayakuta darajani by July. Saizi yenu Soithampton na West Ham gombeeni nafasi ya nne na tano.
Wenger aachage ubahiri wake wa ajabu atutafutie DM Wa ukweli ni aibu kufungwa na kitimu kama hicho