Arsenal (The Gunners) | Special Thread

World cup gani ya May 2014?!?

Kiswahili kigumu sio?Ngoja nikutafunie ili uende. Mnapo May 2014 baada ya kushinda UCL jamaa aliamua kuchora tats hizo mbili,moja ktk mguu kusheherekea makombe mawili (UCL & World Cup) aliyoshiriki kuyabeba kwa Spain na Real Madrid
 
:sad::sad::sad::sad::sad:
 
Reactions: Nzi
Kuna mjamaa alisema Sanchez ni mzuri akicheza na team ndogo ndogo lakini arsenal ikikutana na team kubwa Sanchez haonekani kwa ubora ule kwenye team ndogo
 
Reactions: Nzi
Huyu sanchez kama mwarabu anafunga tu huku
 
Nice Header toka kwa kaka mkuu Sanchez uyu jamaa lazime apimwe sio binadamu wa kawaida.
Sisi 1-0 QPR
 
Red card Giroud,too childish siamini Giroud anafanya kitu kama hiki.
 
Kiswahili kigumu sio?Ngoja nikutafunie ili uende. Mnapo May 2014 baada ya kushinda UCL jamaa aliamua kuchora tats hizo mbili,moja ktk mguu kusheherekea makombe mawili (UCL & World Cup) aliyoshiriki kuyabeba kwa Spain na Real Madrid

Kwahiyo alichora 'tats' ya world cup aliyoshinda mwaka 2010, May 2014?!?

Hiyo picha ilipigwa lini kwani?
 
Duh!!!! Tumeponea tundu la sindano maana walikuwa wanashambulia kama nyuki. #Mburukenge walikuwa wanasubiri kwa hamu tupigwe bao la pili.
 
Full time Arsenal 2-1 QPR
Points tatu muhimu sana hizi.Leo nimemsaidia Wacha1 naona bado anakula sikukuu...lol
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kuna mjamaa alisema Sanchez ni mzuri akicheza na team ndogo ndogo lakini arsenal ikikutana na team kubwa Sanchez haonekani kwa ubora ule kwenye team ndogo

Kwani Sanchez anachezea timu kubwa? Ipi hiyo? Arsenal?!?

Ni hivi, Sanchez ucheza vizuri akikutana na timu za kiwango cha goons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…