Hmmmm! Hii mechi imeshakuwa ngumu kuliko ilivyostahili. Ngoja tuendelee kuangalia kama tutafanikiwa kutoa draw au hata kushinda, vinginevyo kelele za kumtema Wenger zitazidi kuongezeka kwa nguvu.
Siyo wakifungwa,watu wamefungwa 3-0 warudishe kipindi cha pili????
Pole wangu😎
Wewe sema haki ya nani!! Sijui mim nimetoka kidogo
We acha tu hata kununa nimeshindwa, 3-0 before half time?
Ndo hivo dk ya 54 arsenal washafungwa 3-0
ungewapa polemashabiki wa arsenal mna roho ngumu kama ya paka mwitu.