tumefanya mechi hiwe ngumu sana,hakuna kitu kibaya kama kuwa kati hali hii.inanikumbusha mechi ya FA hile manake nilikuwa nimeenda pub naangaika kupata parking huku mtu ananipigia simu mkuu kama vipi bora urudi nyumbani NANI huku ana nyanyasa.nilijua utani kufika ndani ya pub aibu tupu.
sasa leo na hofia sana tunaweza kukamatwa kwenye counter attack we have to be very carefull.