Vishabiki koko vimekalia ku-copy and paste habari za big time mburukenges walioshindwa kucheza mpira katika vipindi vyao phew! What a joke. Kesho tunamcharaza mtu Emirates bila huruma. COYG
Utaelewa tu ndugu na utakua wa kwanza kubeba bango la WENGER OUT
Patakua hapatoshi leo humu. Wenye nyumba lazima waikimbie nyumba yao na kuwaachia wapangaji wakijipongeza. MBWA KWA CHATU HAZUNGUSHI.
Khe khe khe khe khe 🙂🙂 Wenyewe tumejaa tele kaa pichi ya mchele wa Kyela.
mkuu game inaanza saa ngapi?
Naipenda Arsenal na nimeifia Arsenal kwangu mimi Arsenal ni Dini niko teyari kubadili hizi dini walizotuletea wakoloni na kuhamia kwenye dini nyingine,lakini siko teyari na haitokujatokea eti niihame Arsenal kwenda timu nyingine.Noo!
Ila linapokuja swala la Arsenal kucheza na Manchester United ushabiki na upenzi wote huwa naweka pembeni na naziaacha akili zangu zifanye kazi bila kuendeshwa na hisia namaanisha LEO ARSENAL HATUWEZI au HAIWEZI KUIFUNGA MAN U kwani Arsenal ikikutana na Man U ni kama mbwa kamuona chatu'hata kama Man U wakipanga kikosi cha pili ni lazima watufunge tu.
Ushindi wa Arsenal leo labda ni droo au tuombe Mungu mchezaji mmoja wa Man United atolewe kwa kadi nyekundu mapema sana tena kwenye kipindi cha kwanza na huenda tunaweza shinda lakini hawa jamaa wakiwa kamili ni lazima tutachezea kichapo au tumejitahidi sana droo TIME WILL TELL

Naipenda Arsenal na nimeifia Arsenal…kwangu mimi Arsenal ni Dini…niko teyari kubadili hizi dini walizotuletea wakoloni na kuhamia kwenye dini nyingine,lakini siko teyari na haitokujatokea eti niihame Arsenal kwenda timu nyingine.Noo!
Ila linapokuja swala la Arsenal kucheza na Manchester United ushabiki na upenzi wote huwa naweka pembeni na naziaacha akili zangu zifanye kazi bila kuendeshwa na hisia…namaanisha LEO ARSENAL HATUWEZI au HAIWEZI KUIFUNGA MAN U…kwani Arsenal ikikutana na Man U ni kama mbwa kamuona chatu'hata kama Man U wakipanga kikosi cha pili ni lazima watufunge tu.
Ushindi wa Arsenal leo labda ni droo au tuombe Mungu mchezaji mmoja wa Man United atolewe kwa kadi nyekundu mapema sana tena kwenye kipindi cha kwanza na huenda tunaweza shinda…lakini hawa jamaa wakiwa kamili ni lazima tutachezea kichapo au tumejitahidi sana droo…TIME WILL TELL
Mkuu, unadhani ni kwa nini? Ningependa unipe sababu kama kweli unajua soka.
Nitakushangaa sana kama hujui.
Karibu.
mbona hata hio ARSENAL wamekuletea wakoloni???