EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Hii timu haiwezagi kuzuia kabisa ni matatizo ya mda mrefu sasa na mzee Wenger haliangalii hili suala kabisa
Imekuwaje tena?
Juzi tuu weekend hapa mlikuwa mnamfagilia.
Hii timu haiwezagi kuzuia kabisa ni matatizo ya mda mrefu sasa na mzee Wenger haliangalii hili suala kabisa
Hii timu haiwezagi kuzuia kabisa ni matatizo ya mda mrefu sasa na mzee Wenger haliangalii hili suala kabisa
Poleni sana ndio mpira.,
Unafunga goli 3 bila Alafu yanaanza kurudi moja baada ya jingine mpk wanasawazisha.....! Khe Khe Khe Yale Yale ya Newcastle na Arsenal...! Poor Arsenal....!
Wakuu humu ndani hongereni kwa draw,ila poleni sana kwa kuchomeka vitatu na kuchomolewa vyote,ndo mpira huo........
Cc BAK
Mzee mawenge ajipange kusajili beki Januari vinginevyo tumekwisha ndugu zangu