Sanchez ndiye pekee nayemuona akihangaika huku na huko, kiukweli, Arsenal hii ya Wenger ina safari ndefu sana kushinda vikombe. Yaani mechi kama 10 tulizocheza tunaonekana kama timu ya kawaida kabisa. Kwangu mimi tatizo la Arsenal kubwa kwa sasa ni Wenger. Mabadiliko yanatakiwa. Kwa mpira tunaocheza, hata akichukua Kocha mwingine mabadiliko yatakuwa madogo sana, hakuna tofauti. Majeruhi isiwe kisingizio hata kidogo, kila timu ina wachezaji wanaocheza na dhidi ya timu zingine. Pia, Arsenal tunatakiwa tukubali mabadiliko, Arsenal bila Wenger bado itakuwapo. COYG!
Makocha mbona wengi tu, mchukueni Moyes atawafaa kama awafaavyo Xabaranx.Inawezekana kwel AW ni mbishi na falsafa zake hazikubaliki kwa wengine, swali linakuja, AW akiondoka sasa nani atatufaa?!
Kocha gani kwa sasa anazo sifa kama za AW au zaidi?
Tusije tukawa kama Manure, tuwe waangalifu, tuna pt 6 Champs Lg, Premeir Lg tumepoteza mchezo mmoja tu, sawa sare nyingi, ila mechi tumecheza ni nane tu!
Inawezekana kwel AW ni mbishi na falsafa zake hazikubaliki kwa wengine, swali linakuja, AW akiondoka sasa nani atatufaa?!
Kocha gani kwa sasa anazo sifa kama za AW au zaidi?
Tusije tukawa kama Manure, tuwe waangalifu, tuna pt 6 Champs Lg, Premeir Lg tumepoteza mchezo mmoja tu, sawa sare nyingi, ila mechi tumecheza ni nane tu!
Dear goons,
Do you remember this?
Wakuu,leo game za wikendi naelekea kukosa kuziona, hii ya man city inayoendelea nimeshindwa kuona. Naomba mtu anisaidie mwenye application ya kuangalizia mpira, nilikua natumia Adhenet leo haitaki kufungua. Natumia PC kama itapatikana ya window phone pia nitashukuru.
Ngoja nijaribu mkuu nitakupa reportKwenye PC jaribu livefootballvideo.com
Ngoja nijaribu mkuu nitakupa reportKwenye PC jaribu livefootballvideo.com