Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Achana nao, wamepooza uwanjani
Kwisha habari yao sjui leo kisingizio kitakua nini.... Si unajua wanacheza na a big team mkuu 😉😉😂😂
Hizo ndoto za arsenal kufungwa ni heri ungezifuta kwakua hilo suala halipo!

Ndoto zishazimwa tayari hapa hata hiyo draw wataishangilia kama ushindi vilee... Na siunajua hapa wanacheza na a Big Team😉😉
 
Arsenal acheni kuremba, hii sio playstation. Mtaumbuka
 
Arsenal mmavyowapeleka Hull hizi extra minutes mngecheza hivi mapema hii match ilikuwa yenu
 
Hata hull city kwel ars kaisha kwi! Kwi! Kwi! Kwiiiiiiiiiiiii kwi kwi shabaranki kawaletea gundu kwi kwi kwi kwiii kwi! kwi! polen wandugu tutaonana jumatatu saa 4 ucku napomuua westbrom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…