Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Prof Wenger pushes Morinyo as the two managers, who have had a long-running feud, fought on the pitch




The scrap between the two managers certainly raised
the atmosphere at Stamford Bridge



















Roma a Bramovick akishangilia baada ya kuona mpunga aliotoa
haukupotea bure ... ..


Refa alikuwa biased na kuwapendelea mafioso, tuko half time tunawasubiri Emiratestutaona kama wataweza kuchomoka tena ..... . ..... . ..COYG.


 

Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Teh Teh Teh Teh Teh Teh


La mkosaji! Naona unatafuta visababu Vya ajabu ajabu!
 
naomba mwenye ufahamu zaidi anijibu,
1)Tatizo la Arsenal kushindwa kumfunga Chelsea.
2) Suluhisho lake kama lipo.
 

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hahahaha
 

kupigwa mtapigwa tu
 


Leo refa ana makosa?? Mzunguko wa kwanza unaisha hamuingii top 4.
 
Khe khe khe kheeeeee huyu ndiye yule yule rafiki yangu kipenzi asiyenitakia mabaya kwi kwi kwi kwi...Dua la everlenk leo limempata BAK lol!!!! Endelea kuchekelea 🙂🙂


Mnaongeza mwaka mwingine bila kombe. Hongereni kuzidi kuvunja rekodi.
 
Last edited by a moderator:

Waswahili wanakwambia mchezea mavi haachi kunuka,siyashangai matokeo yenu ya jana ila poleni sana kwa kichapo
Cc: Bulldog Mbu piere f.m
 
Last edited by a moderator:

pole mkuu
 
Hahaha. Mara ya mwisho kuifunga united lin??

Niambie wewe! Manchesta sio issue kwa Arsenal. Pamoja na hayo Manu hawajawai kui-outplay ktk hizo mechi CHACHE. Narudia, Manu kwa Arsenal sio ISSUE.
 
Wanachokifanya Chelsea kwa Arsenal ni kuwa patient, solid at the back, intercept Arsenal's fluid passes and closely watch Arsenal's weaknesses. Then..Bang. Goal. Nothing much.

taendelea kuwa hivyo mpaka siku Wenger akibadili strategy na yeye aanze kuchunguza udhaifu wa Chelsea. Huwezi kucheza mpira bila game plan - Yaani ukacheze na Chelsea sawasawa na unavyocheza na Leicester City au QPR.
 
Jana mapanki aling'aa kinoma, kwanini sijui LVG aliliacha jembe hili!!! Anajua mimi nalifananisha na Diego Costa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…