Arsenal (The Gunners) | Special Thread

match 11 chelsea win 6, draw 5, arsenal win 0 . swali gumu leo je wenga atavunja mwiko leo?
 

......jiandae pa kuiweka sura yako wewe, kesho tunakuja kivingine mtashangaa wenyewe!
Kesho kwenu ni msiba nawaambia!

#ComeOnYouGunners!!!

We are ready!!!!!!



Weye jifariji tu! Yani uje kwangu alafu uniletee mbwembwe?!! Kuku wangu mwenyewe ni mshikie manati ya nini tena?
 
Reactions: Mbu
Hivi unajua hata David Dein (aliyekuwa mmiliki wa goons kwa muda mrefu tu) kipindi ni bosi wa FA naye alikuwa kwenye mtandao wa huyo mfalme unayemzungumzia!?!?

david deins alikua mmiliki wa Arsenal? Timu maburudani ni timu ya wananchi mh inzi.
 
napendekeza kila shabki wa goons apimwe BP kabla hajaingia show!mana leo fabregas anaweza tupia!hatuta R.I.P zisizo za lazima!
 
tukiwa tunasubiria mazishi ya mpendwa we2 Ars888 hiyo badae,si vibaya 2kijikumbusha aliyoyafanya enzi za uhai wake ...........

Grand PA
 

Attachments

  • Ars888 score board 6 nil.jpg
    7.6 KB · Views: 139
tukiwa tunasubiria mazishi ya mpendwa we2 Ars888 hiyo badae,si vibaya 2kijikumbusha aliyoyafanya enzi za uhai wake ...........

Grand PA



Wenye Nyumba hii wamekimbia mpk sasa hawaonekani!

Umefanya vzr kuwakumbusha walivyokufa Msimu uliopita!
 
Czenchy,chambers,gibs,koshenly,matesacker,flamin,cazola,wilshere,ozil,sanchez,welbeck
 
Czenchy,chambers,gibs,koshenly,matesacker,flamin,wilshere,cazola,ozil,sanchez,welbeck
 
Goons bana...wanataka kuweka mpira kwapani kwa kutumia mashabiki wao wahuni..
 
Here we go...goons get ur hearts ready for some high blood pressure crazy stuffs..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…