Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zile 6 Kwa oooooooh na kesho zinapigwa tena!

Mtakimbia humu ndani!

Nzi usiache kupitia huku mkuu uone hawa jamaa watakavyopigwa!

Mimi nitashangilia matokeo ya aina yoyote isipokuwa goons kushinda.
 
Last edited by a moderator:
Kuna #Vimburukenge vinafikiri mpira ulianza wakati kajambazi Ka Abrahamovic kalipoiba pesa Urusi na kukimbilia England Phew! Na kesho mjiandae kale kachezaji kenu kanakojifanya kababe katakula red card ... ... .... . .. ubabe ubabe tu kesho. You can't buy class. COYG
 
Mimi nitashangilia matokeo ya aina yoyote isipokuwa goons kushinda.



Alafu nashangaa sn Msimu uliopita hawa Goons walikua wanapiga sn kelele, Lkn Msimu Huu naona wako kimya!


Goons njooni mpange mipango ya kesho!
 


Wacha1 kesho usikimbie tu!

Game imeshaanza!
 
Last edited by a moderator:


Pale mbele yuko Diego Costa,

Nyuma Yake kidogo yuko Fabrigas na Oscar.


Pembeni pande kushoto na kulia yuko Hazard na Willian Au Salah na Shurrel

Katikati yuko Matic

Nyuma ya Matic yuko

Terry Cahill Ivanovic na Azpi.

Hakuna wa kutuzuia!
 

Arsenal have won the most major trophies of any London club by far...kweli?

Hivi pale London Arsenal ndo wana kombe la UEFA kumbe??
 
if raping is unevitable you just relux. poleni arsnal na tunaomba mtupe tu ushirikiano kwani kubakwa hakuepukiki kesho.
Ni ushauri wa bure tu kama unaona mazingira uliyopo huwezi kupata msaada dhidi ya mbakaji ni vema ukampa ushirikiano ili asikuchubue baada ya hapo unaweza kufikifiria namna ya kufanya
 
Maneno ya mkosaji hayo ndugu yangu rockcity

unajua nini ndugu kuna watu wamebeba uefa kiujanja ujanja tu halafu wanajisifu. Kubeba uefa sometime ni bahati tu kukudondokea lakini haikufanyi kuwa timu bora. Kwa maana hiyo basi hata notingham forest na aston vila ni timu bora duniani coz na wao washabeba uefa.
 
Last edited by a moderator:

Sawa nakubaliana na wewe, na pia hao Nottingham Forest na Aston Villa walikuwa Bora kwa kipindi chao ila sio sasa.....

Ila mpira ni mchezo wa makosa siku zote unapokosea ndipo unapoadhibiwa, halafu huo unajanja inamaana timu kubwa kama Arsenal inaukosa kweli??
 

hahaha sisi timu maburudani hatutaki kushinda kiujanja ujanja. We si unaona mtaa wa 7 walizoea vya kunyonga enzi za mfalme wao, sahivi mfalme kasepa na bahasha zake nyekundu sasahivi hali tete... Marseile wenyewe walitumia ujanja ujanja 93 wakabeba uefa lakini akashtukiwa akafungiwa.
 

Unaposema kiujanja Janja unamaanisha nini?

Kwa mfano, Chelsea tangu iwe chini ya Abromoney. Imefika Fainaly Mara mbili na kuchukua kombe Mara moja! Kufika nusu Fainaly ni Mara nyingi tu. Sasa huoni km wanastahili kuchukua kombe?
 

kwa hiyo Arsenal hamna bahati?
 




























Wachezaji wote nyota walikuwepo kwenye mazoezi leo Colney
kwa mtanange wa kesho na mafioso .. . .
 
Reactions: Mbu

Hivi unajua hata David Dein (aliyekuwa mmiliki wa goons kwa muda mrefu tu) kipindi ni bosi wa FA naye alikuwa kwenye mtandao wa huyo mfalme unayemzungumzia!?!?
 
Pale mbele yuko Diego Costa,

Nyuma Yake kidogo yuko Fabrigas na Oscar.


Pembeni pande kushoto na kulia yuko Hazard na Willian Au Salah na Shurrel

Katikati yuko Matic

Nyuma ya Matic yuko

Terry Cahill Ivanovic na Azpi.

Hakuna wa kutuzuia!

......jiandae pa kuiweka sura yako wewe, kesho tunakuja kivingine mtashangaa wenyewe!
Kesho kwenu ni msiba nawaambia!

#ComeOnYouGunners!!!

We are ready!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…