Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahahahaha lol!!! Watu wenye asili ya uchawi utawajua tu lol!!!! Sikuwahi kufikiria kwamba Nzi nao huwa wanawanga. Kumbe ukija kwenye jukwaa letu huwa unakuja kuwanga eeh!? Mdudu weye una mambo makubwa sana! Dah!

Watu wanawanga kwenye majukwaa ya watu huku wamekimbia kwao.

Cc: BAK Mbu
 
Last edited by a moderator:
Wemepata Ka ushindi leo bhasi wamefufuka kweli, Nadhan bado hawajajua kuwa timu yao ni kama mlevi anayepiga hatua 2 mbele, 10 nyuma na bado wanajipongeza.

Mbona wameshinda kwa taaaabu, wanapumulia machine hao. Walipaki basi nyumbani, sio utamaduni wa Manu, regardless wako wangapi.
 
Nawashangaa nami hawa, tumecheza na mpinzani wetu wa jadi ambaye hakuja kucheza mpira bali kusubiri makosa ya watu binafsi na counter attacks. Hawakuja kushinda bali kutafuta kutofungwa. Arsenal bado unbeaten.

.......not only that, kutuongezea idadi ya majeruhi pia.

#Wilshere Out,
#Ramsey Out,
#Arteta Out,.......we are a bit short ahead of Galatasaraay and Chelsea games aisee....

Wakati huo huo, #Rooney kwa kujua kijacho ni Everton na Chelsea, kajionea isiwe taabu, kaitafuta Red Card ya makusudi asijelaumiwa kwa aibu za game hizo.
 

hahahahhaha mbu umenichekesha
 
Reactions: Mbu

Soon Diaby na AOX nao watajiunga kliniki
 
Hii droo amepaniki hivyo wakianzishiwa vile vipigo vye mbwa mwizi tutasikia habari mbaya kwa huyu m'babu

hahahaha ............. halafu huyu mzee ana asili ya ubonge lakini timu ndio inamuangusha anakonda kila kukicha. nahis anatembeaga na mawe mfukoni.

Grand PA
 
hahahaha ............. halafu huyu mzee ana asili ya ubonge lakini timu ndio inamuangusha anakonda kila kukicha. nahis anatembeaga na mawe mfukoni.

Grand PA

Hahahaaa..!! Umenikumbusha mbali sana Grand PA ..



Arsenane walishindwa kumpa raha kama hizi akaamua kujipa mwenyewe azisahau shida
 
Last edited by a moderator:


Ahead of the CL Prof alikuwa anaendelea kuwanyima usingizi wapinzani
kitale Emirates kesho cha kukata na shoka
Asiye na mwana aeleke jiwe, na kabla ya mpambano under 19 of both clubs will compete.
 
Reactions: Mbu


Theo na Serge Gnabry wamerejea mazoezini leo asubuhi na
next week watakuwa wakigombea nafasi .... ..



Jack shrugged off the weekend injury .... ....




All aboard for tomorrows show ... .. .




Prof with the Ox ... .... ..




Alexis alikuwepo .. ... ... .. .

COYG
 
Reactions: Mbu
Hiyo siyo kliniki ya kawaida; ni ya rufaa! Yaani ni kama Muhimbili ya majeruhi wa soka!

Kuna jamaa (sijui pierre fm) ameniambia akina Jones, Smalling na Evans waende wakatibiwe hapo, nafikiri ni ushauri wa busara sana huo.

......na #Hererra mbona humtaji?, Jiandaeni na Falcao nae. :coffee:
 
Doh! Niliwasahau hawa! Kweli watafaa sana kuja hapo kwenye Muhimbili ya majeruhi wa soka.

......hahahaha, ndio maana Van Gaal kamtimua Tony Strudwick nini.....?!
 













HAPPY ANNIVERSARY, Prof. ARSENE

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…