Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu upo? Umepotea sn Aiseee!

Leo nawakaribisha Etihad muone mambo safi kabisa Yale nyie mlishindwa!

nipo Ntuzu, ila leo hamtoki etihad. Nadhani kuanzia leo gunnerz ndo itakua tim pekee ambayo haijapoteza. Najua leo kwa uwoga wa morinho lazma atupie wakata umeme wawili au watatu pale kati, obi,matic na ramirez
 
Last edited by a moderator:
nipo Ntuzu, ila leo hamtoki etihad. Nadhani kuanzia leo gunnerz ndo itakua tim pekee ambayo haijapoteza. Najua leo kwa uwoga wa morinho lazma atupie wakata umeme wawili au watatu pale kati, obi,matic na ramirez


Mkuu Leo sisi tunakwenda kucheza bila PRESHA!

Man City wako na PRESHA KUBWA hasa Kwa game ya leo na hii inatokana km watapoteza gape ya points itakua KUBWA km 8 hivi, na Kwa uchezaji wa Chelsea msimu huu Kwa hiyo gape man City kutetea ubingwa itakua kz mno! Hivyo wako na PRESHA sn!

Kitu ingine viwango vya baadhi ya wachezaji wa City vimeshuka km Yaya Toure na wengine Wakati huo Chelsea imezidi kuimarika kila sehemu!

Na pia hii game inakumbusha msimu uliopoita Kwa Chelsea kuvunja rekodi ya City ya kutokufungwa home pale!

Wakati huo Chelsea wako kimya na wanakchukulia hii game umuhimu mkubwa sn! Hivyo basi kuipoteza sio malengo Yao!

Mkuu Lazima tuwapige Man City Leo!
 

hahah mkuu ntuzu kwa siasa hadi mpirani? Well, kama kweli hamna presha wala uwoga bas mmweke matic peke yake ktk holding midifild kama game nyingne zilizopita. Lakini mkimpa kampani ya obi,ramirez,wilian mtakua waoga
 
hahah mkuu ntuzu kwa siasa hadi mpirani? Well, kama kweli hamna presha wala uwoga bas mmweke matic peke yake ktk holding midifild kama game nyingne zilizopita. Lakini mkimpa kampani ya obi,ramirez,wilian mtakua waoga



Mkuu hii game ya Leo tunakwenda kucheza Kwa uhuru! Yani bila hofu!


Mara zote huwezi mchezesha kiungo mkabaji peke yake Lazima umuwekee pacha wake! Lkn ktk pacha wa Leo atakua Matic Na Ramires pale Kati! Au km Obi akianza Pamoja na Matic basi Ramires atakaa upande wa Winger ya kulia!

Bado Hawatoki Hawa Man City!
 

game kama 3 hv mmecheza na kiungo mkabaji mmoja bila wasaidizi..
 
[video]https://mtc.cdn.vine.co/r/videos/85AA0EE1D41125119493124116480_ 2f4748d7861.5.1.15817878771628 650266.mp4?versionId=wsYmtKJAB KrifiujMvS4_lJHucTcjoYx[/video]

[video]https://v.cdn.vine.co/r/videos/C3C36CEFDF1125119750348087296_ 2e6c4f7b3b4.5.1.10692055186711 468846.mp4?versionId=hfz0j2lFf p8uu0ui0cqot5fxVCRLRV12[/video]​
 

Haya maneno yako nayaweka kwenye hansard, '...kuanzia mid next month...'

Hongereni.

Mkuu wacha huu ndo mwezi wa mabadiliko uliotabiriwa au tuusubiri mwingine??!


Mambo mbona bado mapema hata mwezi haujaisha njoo J4 Emirates uwaone Ospina, Campbell, Zelalem, Coquelin Sanogo etc. kwenye kombe la mbuzi. Alexis atakuwa mgeni rasmi .. . .... .... ...... .... ... anawachubiri Spuds ... .... .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo!
 

Ahaaaa kwa hiyo ni mwezi Oktoba...hii tunayoona ni utangulizi a.k.a dibaji sio!

Mine eyes sir!!!
 
Hongereni.

Mkuu wacha huu ndo mwezi wa mabadiliko uliotabiriwa au tuusubiri mwingine??!

BTW leo unashabikia timu gani maana una kigeugeu ukimuona Invisible wewe ni Chelsick Damu damu, akigeuza shingo tu upo Mancs khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



BTW Usimwambie Invisible taratibu kwa kunong'ona leo wanachezea kichapo pale eithad maana Morinyo ameanza mapema kunong'ona ati wafukuzwe kwenye CL kutokana na Fair play kesha sahau kwamba alikuwa anaipiga vita .. ... ... ... . fair play.
 
Wow!! Weekend hii ilikuwa POUWA balaa. Wapinzani wetu wote (Chelsea, Mancity, Liverpool, Everton, Manu, Tottenham) hawajachukua max points, wakati sisi tukizoa zote tatu, goli tatu, na clean sheet. Dah, hii weekend sijui itajirudia lini tena!! Kweli adui yako muombee njaa, na njaa iwakute maadui wetu. COYG!
 



Youngster Daniel Crowley (centre) is put through his paces by Arsene Wenger (right) and could make his debut in the Capital One Cup on Tuesday evening






Lukas Podolski practices his boxing technique in training,
before posing with forward Alexis Sanchez during a break
in the session




Hector Bellerin (left) is chased by Jack Wilshere (centre)
during Arsenal's training session



Alexis alikuwepo ..... .. .








Ospina .. . .




Ainsley Maitland-Niles .... .... yupo . ....


Mtanange wa kesho utakuwa mkali sana .. .. .COYG
 


Teh Teh Teh Teh

Tungefungwa gunners wote mngehamia ktk thread yetu Kule Lkn dua zenu zimegonga MWAMBA!

Na Bado Chelsea Ndio habari ya EPL!
 
First Eleven.
Ospina,
Berlin, Chambers, Hyden, Conqueline,
Diaby, Rosisky welshire, Alexis,
Campbel, Podolsk.

Subs:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…